Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge


Kwa hio unataka kusema vipengele vitoe uwezo wa kuapisha bafuni hata kama dundai anapakuwa bafuni huku anaapisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
National assembly chooni!!!?? Garage?!!
 

Kila Mtu sasa kawa Mwanasheria anatafsiri Vifungu vya Sheria! 'Legislature' sasa imekuwa Jengo (House & Garden and Parking) badala ya 'Chombo cha Kutunga Sheria'.
 
Tatizo Jiwe anajiona ana akili Sana. Hata Kikwete alikuwa na uwezo wa kufanya huu ujinga hakufanya. SASA avunje Katiba weeee aendelee kuwa kituko maana ni KITUKO.
 
Bunge linalofuata tunaomba likafanyiwe Sokoni.
 
Wabunge 100 Wengi ingeachia wabunge 80 tu Hizi kelele zisingekwepo,CCM wanashindwa kula na kipofu
 
Tanzania ni nchi huru , hatuyumbishwi na misaada yao yenye masharti ya kishoga. Misaada hiyo wawape Chakelele
Tukumbuke kuwa serikali za jumuia ya EU hazitambui matokeo ya uchaguzi wa 2020.

Hatuna maelezo ya pesa zilizotolewa kupigana na COVID-19.

Serikali imefunguliwa kesi ICC.
 
Wabunge 100 Wengi ingeachia wabunge 80 tu Hizi kelele zisingekwepo,CCM wanashindwa kula na kipofu
Utasemaje hivyo wewe watu hawajakuchagua unapatanaje nafasi kwa hizi nafasi za Ubunge Ni za kupewa? Kumbuka watu walizunguka nchi nzima kuomba kura usiku na mchana,wabunge na madiwani walipiga kampeni mchana kwa usiku kuomba kura.Mwisho wa siku watu hawakuchaguliwa Sasa unatakaje wewe ulitaka wapewe Ubunge Kama ambavyo Chadema wanavyompa Uenyekiti wa Chama Mbowe.Hakuna kitu Kama hicho ukiliwa umeliwa kajipange kwa uchaguzi mwingine mlisema hivyo hivyo kwenye uchaguzi wa S/mitaa ikala kwenu na hili na uchaguzi mkuu imekula kwenu pia
 
tunaposema Bunge hatua maana ya majengo bali wawakilishi wa wananchi! Kikao cha Bunge kinaweza kufanyika po pote na siyo lazima Dodoma.

Majengo ya Bunge Dodoma ni rasmi kwa matumizi ya Bunge lakini pia yanaweza kutumika kwa shughuli nyingine.

Ndiyo sababu Bunge la Afrika mashariki hufanya vikao vyake po pote katika nchi wanachama.
 
Ulivyokubali tu kusema katika bunge biashara ndio imeishia hapo
 
Tatizo Jiwe anajiona ana akili Sana. Hata Kikwete alikuwa na uwezo wa kufanya huu ujinga hakufanya. SASA avunje Katiba weeee aendelee kuwa kituko maana ni KITUKO.
Nimekuelewa yani Mbowe huyu anatufanya wote wajinga kule anaongea hivi alafu huku anaongea vile tatizo tulifanya makosa kumpa Uenyekiti wa Chadema wa kudumu
 
Maafisa wa serikali Awamu ya Tano hawapo smart Sana kila mpango wanaofanya unakuwa na shida sehemu.Ina maana wanashindwa kupanga mkakati ambao hauachi alama yoyote ya mashaka nyuma?
 
mwongo mkubwa wewe hawakuwa gerezani walikuwa rumande.Rumande ni tofauti na gerezani.Wale walikuwa hawajahukumiwa hivyo mambo mengine yalikuwa yakiendelea kama kawaida

Gerezani ni sehemu bila kujalisha umehukumiwa au haujahukumiwa.

Iko ivi gerezani kuna scenario tatu;
1. Kuna wafungwa (waliohukumiwa)
2. watuhumiwa (remands) kwa Kiswahili ndio tumetohowa tunaita rumande lakini ni gerezani pale pale
3. Kuna Magereza ya mahabusi peke yake (gereza Mahabusu).

Sasa kwanini mtu aende gerezani ikiwa hajahukumiwa? Kwa sababu kule polisi alikotakiwa kuhifadhiwa ili afikishwe mahakamani ndani ya muda mfupi kunakuwa hakuna security ya kutosha na space hivyo anapelekwa gerezani kuhifadhiwa. Kumbuka kuna watu wanakaa hata miaka kadhaa hawajapata hukumu zao, hawa wanakaa gerezani ila sio wafungwa.

Kwahiyo Nusrat Hanje alikuwa gerezani sijasema alikuwa mfungwa, sijui kama unaelewa? Na taratibu za mtuhumiwa kutolewa gerezani tunazifahamu sio kama wewe unayedandia mambo kisa ushabiki wa chama
 
Kwahiyo pale parking ni bungeni ?
 
Hao watakuchosha bure huko kwao asipoonekana anatetea kila kitu pamoja na ujinga wa CCM, hapati uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…