Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

Je wakiapa mbele ya Spika "gereji"?...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Twafwaa
 
Tatizo yote haya yameanzishwa na ulafi wa CCM
 
Sawa Awamu ya 5 chochote kinawezekana mkuu,awamu isiyofuata katiba/sheria.
 
Tunahitaji kuombewa sana kama nchi mmahali tunapo elekea si salama kabisa
 
Tunaposema fulani yuko Bungeni, hatumaanishi yuko kantini ( tungesema kantini ya Bunge) au ndio anapaki gari lake( yuko kwenye parking ya Bunge). Tunamaanisha yuko kwenye ukumbi wa Bunge.

Amandla...
 
No

Ni ibara gani ya katiba hiyo?

Unaweza kuikwoti pls ili ku - back up argument yako?

Au umeandika kwa kutumia hisia zako tu?
 
Mmeanza lini kuwapenda wapinzani
 

Kwa maana hii, tafsiri ya "Bunge" haiwezi kuwa Spika tu na wafanyakazi wawili ama watatu wa Bunge..

"Bunge" ni lazima lihusishe Spika au kiongozi wa shughuli za Bunge na wajumbe wa council yenyewe...

Mkutano wa Bunge kwa ajili ya shughuli yoyote si lazima ufanyikie ndani ya jengo fulani.

Mkutano wa bunge (parliament) unaweza kufanyikia hata kwenye uwanja wa mpira ili mradi wawepo wajumbe (wabunge) na kiongozi rasmi (Spika au naibu Spika au mwenyekiti)...

Kukosekana kwa mmoja wa hao, hilo haliwezi kuwa "Bunge"...

Kwa katiba inaposema " ....before the Parliament " maana yake wabunge + kiongozi wa Bunge (Spika, naibu Spika ama Mwenyekiti)...

Kwa shughuli ya Kuala, lazima Spika aendeshe shughuli hiyo mbele ya "baraza" la wajumbe wote...

Ndugai kavunja katiba. Kiapo cha wabunge wa COVID - 19 automatic ni batili...
 
ndio ili mradi ni eneo la bubge
Naomba kuuliza,kama katiba inamaana hiyo,kwaninj kanuni zilibadilishwa bunge lililopita ili wabunge waweze kuapishwa hata nje ya ukumbi wa bunge ilimradi ni spika ndiye anawaapisha?

Ndugai kasema wazi kuwa hapo kabla ilikuwa mbunge lazima aapishwe mbele ya wabunge kwa maana ya Bunge,ili kuwafanya wabunge waanze kutekeleza majukumu yao haraka,ikabidi itungwe kanuni hiyo itakayowezesha hilo!Sasa swali,je katiba imebadilishwa?Vipi kama kanuni zinakinzana na katiba?
 
Mbona kama CCM wanatokwa povu kutetea wabunge wa Viti maalum Chadema, kuwahalalisha kwa nguvu zote, mngekuwa mnawahitaji sana si msingefanya janja janja kwenye uchaguzi, inashangaza sana ujue, na wamejisahau kabisa povu linawatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…