Kwa uelewa wangu mdogo, bunge ni mhimili ambao kulingana na vigezo fulani kuwepo linakuwa bunge. Sidhanii kuwa jengo linakuwa bunge kama jengo, bali kukiwa na 1,2,3....Mkuu kwani tafsiri ya bunge ni nini hasa, je ni jengo au ni chombo?
Bungeni ni wapi na bunge ni nini?na kama wanaweza apishwa barazani kwa nn hawafanyi hivyo.Tupe ufafanuzi wa maana ya bungeni na bunge.Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Hahahahaa nimecheka sana, Watanzani tunasumbuliwa na nini? Kwa nini isingetamka viwanja vya Bunge, ukumbi wa msekwa, jiko la Bunge! Lakini inasema "bungeni'maana yake ndani ya Bunge hata kama hakuna wabunge wengine lakini iwe Bungeni, means ndani.Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Kwa mantiki hiyo hata chooni katika vyoo vilivyopo katika jengo la Bunge ni Bungeni sio?Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Mkuu naomba tafsiri ya Before National Assembly.Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Kwa kiswahili fanisi ni ndani ya Bunge,ukisema mtuhumiwa amefikishwa Mahakamani utakuwa na maana ya ndani ya jengo LA mahakama na mbele ya hakimuKatiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Yaa choo Cha. Bunge Ni bungeni sahabu bungeni Kuna majengo mengi vikiwemo vyoo ukisema niko bungeni hapa waweza kuwa uko chooniKwa mantiki hiyo hata chooni katika vyoo vilivyopo katika jengo la Bunge ni Bungeni sio?
Kwani ili paitwe Bungeni ni vigezo vipi vinatakiwa kuzingatiwa ili eneo lolote lile liwe ni Bungeni
Usiniambie spika angekuja kuwaapishia sebuleni kwangu napo pangeitwa Bungeni lazima kutakua na vigezo vya kufanya sebule yangu iwe Bungeni
Panasemaje au kidhungu ni shidaaaaaaa π π πHapo hapajasema before members of Parliament
"Every Member of Parliament shall be required to take and subscribe before the National Assembly the oath of allegiance before commencing to take part in the business of the National Assembly save that he may take part in the election of Speaker before taking that oath." [Article 68].Tasfsiri ya Bungeni ni nini? Wale wameapshwa bungeni .Bungeni ni location.Anga;ia hilo neno Bungeni usilikate liache hivyo hivyo lilivyo.BUNGENI.
Kwa hiyo ukisikia mtu anasema " katika uchaguzi huu kulikuwa na wagombea wawili ambao ni Neema na Musa, tumeamua kumpeleka Neema bungeni"unaelewa nin?Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.