gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
Kwa mtanzania yeyote makini anajua katiba inayopendekezwa haina maoni ya watanzania kamwe. Maoni yao yaliondolewa na wanaccm! Ndo maana ccm wanataka katiba pendekezwa ipigiwe kura ya ndiyo.

Ukawa wamekuambieni wao hawashiriki, kaeni kimya itisheni hiyo kura ya maoni pigeni kura mtakutana na wenye nchi siku hiyo inakuja.
kama waliweza kupiga kura za maruhani ilikuipitisha katika BMK wapige hiyvo hiyvo ili kuipitisha ikubalike. mimi naona inapoteza muda ya kushughurikia mambo mengine ya msingi!
hahahaha ni ya nani sasa? ya familia yako? naukitaka kujua kwamba ni yenu ngoja tupige kura, umetumwa wewe si bure.
Kwa mtanzania yeyote makini anajua katiba inayopendekezwa haina maoni ya watanzania kamwe. Maoni yao yaliondolewa na wanaccm! Ndo maana ccm wanataka katiba pendekezwa ipigiwe kura ya ndiyo.
kazi kweli kweli, hivi mpaka leo kuna watu wanaota ndoto za kupiga kura ya maoni tarehe 30/04/2015. Kweli tuna safari. Tena wengine ni wasomi kabisa watu ambao jamii inaategemea watoe mwanga kwa jamii iliyo gizani wanawaza kura ya maoni mwishoni mwa mwezi, kwa maana hata majira na nyakati hawajui kusoma. Kura tarehe 30/04/2015 imeshindikana, tusidanganyane
Watanzania katiba Inayopendekezwa siyo ya CCM kama wanavyodai baadhi ya watu na kuwashawishi wasiipigie kura, acheni kuwasikiliza watu hao, Aprilli 30 jitokezeni kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo kama inavyosisitizwa na viongozi wetu akiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.