gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
Watanzania katiba Inayopendekezwa siyo ya CCM kama wanavyodai baadhi ya watu na kuwashawishi wasiipigie kura, acheni kuwasikiliza watu hao, Aprilli 30 jitokezeni kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo kama inavyosisitizwa na viongozi wetu akiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.