Katiba Inayopendekezwa si ya CCM


Wewe na Mwakaboko wapumbavu na hamna akili tuemchoshwa na makatuni yrnu hayo, nyie ndoi mnajidhirisha jinsi gani mlivyokuwa wachumia tumbo mpaka mnatengezewa katuni, nyignine mnazigoogle, ndo boss wenu kawapa bundle mfanye hivyo, tena wewe TYTA umeamua kuweka picha ya avatar yako ya ID yako nyingine ya TETTY. mizoga nyie.
 
mmetoka nje ya mada kwa nini mnajazana maneno mabaya? jengeni hoja wakuu.
 
mmetoka nje ya mada kwa nini mnajazana maneno mabaya? jengeni hoja wakuu.

Huyo hapo juu mpuuzi anaejiita TYTA na anaemiliki IDs nyingi humu JF ndo kazi yake hiyo ndo maana watu kama sisi tunampa za NUKTA tuuu!! mpaka atie adabu, coz kujibu hoja hajui afu anamiliki IDS zaidi ya 10 afu kazi yake katumwa kuweka vibonzo alivyotengezewa na mabwana zake huko ndo anacopy na kuja kupaste humu, kwaufupi mtu kama huyu anaonekasna hata CLASS alikuwa ni mtu wa KUCOPY vya wenzie na kupaste kwake ndo maana alifeli FORM FOUR sababu ya ujinga kama huu, wala usimshangae hata kwenye pepa yake ya FORM FOUR ILE ndo huyu ALICHORA KATUNI baada ya kuona kuwa maswali yamemgonga.
 

kama sio ya CCM ni ya nani kumbe? kila mtu anafahamu kwamba katiba hii sio ya wananchi kwa kuwa 100% ya maoni yao yametupwa. sasa wewe mtoa mada tuambie hii katiba ni mali ya nani ili tutakapopiga kura tujue tunaipigia katiba ya nani badala ya kuwahimiza wananchi waipigie kura ya ndiyo katiba wasiyojua inamnufaisha nani.

kwanza wewe lazima utakuwa muabudu sanamu kwani wakristo na waislamu wote wameishaikataa katiba hii isiyojali maslahi ya wananchi.
 
Last edited by a moderator:

SASA NA WEWE ULOTUMWA HUMU NDANI TOA USHAHIDI KWA HAYO UNAYOYASEMA KUWA ASILIMIA 100 YA MAOINI YAMETOLEWA, YATAJE HAYO YOTE ILI WATU WAKUAMINI, NA KAMA UNAYOYATAJA YOTE YAPO BASI WEWE UTAKUWA MCHUMIA TUMBO ULOTUMWA KWA MAKUSUDI YA KUWAPOTOSHA WATANZANIA WAZALENDO HUMU NDANI. Kuwa mzalendo acha kazi ya kibaraka.
 

JK (Mwenyekiti wa CCM) anawahamasisha watu wapige kura ya NDIYO hata kabla ya kuisoma katiba halafu wewe mtoa mada unakuja kusema kwamba hii katiba sio ya CCM? Umerogwa?
 
JK (Mwenyekiti wa CCM) anawahamasisha watu wapige kura ya NDIYO hata kabla ya kuisoma katiba halafu wewe mtoa mada unakuja kusema kwamba hii katiba sio ya CCM? Umerogwa?
wewe ndo utakuwa umerogwa kwann umwambie mwenzio hivo au we ndo ulimroga? Angalia hiyo avatar yako unalia sasa unalilia nini? Na unamlilia nani humu ndani?
 
Kwani majina ya mtu yanakuwa kwenye paji ya uso wake, shati zake na suruali zake? Tunaweza kutambua ni katiba ya viongozi tawala kwa sababu ndio walioondoa maadili ya viongozi: (1) uadilifu, (2) uwajibikaji na (3) uwazi. Wangewezaje kuyaingiza hayo wakati wameharibu? Kesi ya ngedere anapelekewa nyani!!

Ndio hao wenye akaunti nje zenye pesa chafu wakiongozwa na mzee wa vijisenti. Kuhusu zuio la kuweka pesa ng'ambo ya nchi wanasema: Sheria zitatungwa za namna ya kuweka fedha nje. Kwani ni watanzania wangapi wa kawaida wanaweza kuweka fedha nje ya nchi? Hao wanaokula mlo mmoja?

Tuache ushabiki, nchi hii ni yetu sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…