Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
enyi rookie wa jf aka wazee wa march madness aka wachumia tumbo aka vibaraka aka wakosa uzalendo....kama kweli mngekuwa mnajitambua mngestick to your mission...elimisheni watu bila kuwa distracted ya wapinzani wa ''the so called referendum''....ila kwa kuwa hamjitambui,ugeni na ulimbukeni wa hapa jf,mnabaki kujibizana kwa matusi na hamaki..hiki ni kiwango kikubwa cha ukilaza na kutotambua unapigania nini....sitahangaika hata siku moja kuanzisha mada ya kupinga katiba lakini kwenye humu humu nyuzi zenu mnahadaika kirahisi na kujikuta mnaonesha udhaifu.Badala ya kutueleza kitabu cha chenge walau mconvince watu,mnabaki kuwa distracted.So far ni mmchumia tumbo mmoja naonaamejaribu kustick na anachohubiri..wengine nyote hamjielewi mnafanya nini..ni utumbo tu.na utumbo hauwezi kukonvince mtu kupiga kura ya ndiyo.Najua baada ya kusema haya mtajibu kwa hamaki na matusi kama kawaida yenu to prove my point(NINA UHAKIKA 101%..YOU ARE EASILY DISTRACTED)....poor recruits...
![]()
chize mkubwa wewe tyta!
mmetoka nje ya mada kwa nini mnajazana maneno mabaya? jengeni hoja wakuu.
Watanzania katiba Inayopendekezwa siyo ya CCM kama wanavyodai baadhi ya watu na kuwashawishi wasiipigie kura, acheni kuwasikiliza watu hao, Aprilli 30 jitokezeni kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo kama inavyosisitizwa na viongozi wetu akiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
kama sio ya CCM ni ya nani kumbe? kila mtu anafahamu kwamba katiba hii sio ya wananchi kwa kuwa 100% ya maoni yao yametupwa. sasa wewe mtoa mada tuambie hii katiba ni mali ya nani ili tutakapopiga kura tujue tunaipigia katiba ya nani badala ya kuwahimiza wananchi waipigie kura ya ndiyo katiba wasiyojua inamnufaisha nani.
kwanza wewe lazima utakuwa muabudu sanamu kwani wakristo na waislamu wote wameishaikataa katiba hii isiyojali maslahi ya wananchi.
Watanzania katiba Inayopendekezwa siyo ya CCM kama wanavyodai baadhi ya watu na kuwashawishi wasiipigie kura, acheni kuwasikiliza watu hao, Aprilli 30 jitokezeni kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo kama inavyosisitizwa na viongozi wetu akiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
naona umeweka avatar ya mmeo ndo mana kakuambia useme Nooo.Every body Nooooooooooooooo!!!
wewe ndo utakuwa umerogwa kwann umwambie mwenzio hivo au we ndo ulimroga? Angalia hiyo avatar yako unalia sasa unalilia nini? Na unamlilia nani humu ndani?JK (Mwenyekiti wa CCM) anawahamasisha watu wapige kura ya NDIYO hata kabla ya kuisoma katiba halafu wewe mtoa mada unakuja kusema kwamba hii katiba sio ya CCM? Umerogwa?