Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

Kweli aisee huyu jamaa kambale na ni muongo aiseee hata simsikilizi na hayo madudu yake!!!
Tyta aka potato umekurupuka tena kama kawaida yako! Ila nashukuru kufahamu kipaji chako. Wewe ni mchoraji sio mzungumzaji au mtoa hoja. Njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu uwe unatuchorea makatuni ya kuchezea watoto. Unaonekana ni mzuri sana kwa hilo kama hucopy za wengine na kupaste. Tyta, tetty, pot, potato, potter pocher n.k upo!
 
Huyo babu mwacheni apumzike hatumuhitaji humu, yeye alishafanya kazi ya kuandika mapendekezo ya Rasimu ya Katiba sasa aache watu waendelee na masuala mengine maana yeyye amekuwa chanzo ya haya yote kupotosha umma kwa kung'ang'ania kuwa baadhi ya vipengele kuwa vimetolewa ina maana yeye akitaka pumba zake ziendelee kuwekwa paispokufanywa marekebisho na BMK? ni maana ya kupelekwa kule Bungeni?
 
Siyo april 30 kaka alafu usitufundishe, tuneisoma tumeielewa na tutajua la kufanya sisi wenyeweee hio siku
 
Usifikiri kama huji wewe ni wote hawajui na kihoja chako dhaibu kuwa na heshima watanzania wako makini kufuatilia mambo yanayowahusu usiwaze kula na kulala.
 
Mimi nachokua zoezi hilo limesogezwa mbele hayo unayoyasema wewe ni uongo!mimi eneo ninaloishi hapa Morogoro mbona wanalijua hili na wamepata taarifa kupitia media TUMEkusogeza mbele kura ya maoni mpaka itakapotangaza usiwe muongo sasa na wewe!
 
wew mnafiki acha kumtukana nyerere wetu wa leo. Haya sasa likatiba lenu la ccm lisha.buma.....hahahahah.... Si mlikataa mkasema kampeny hazitakuwa na agenda kuu ya katba?? Haya sasa yameshakuwa hivyo.
 
Bora kufa kuliko kuruhusu njaa ipande kichwani namna hii

kijana acha kujichanganya mwenyewe bora kufa kuliko kuruhusu njaa ipande kichwani??????L nini hikinulichokiandika inaonekana uwezo wako umefikia mwisho unatuletea maneno ya kukata tamaa humu ndani kufa mwenyewe sisi tutapiga kura ya ndiyo!!!
 
Katiba si ya CCM ila maazimio yaliyomo ndani yake ni CCM na TLP waliyapitisha, hivyo basi wengi hupenda kusema ni ya ccm, Funguka akili wewe sio mpaka uambiwe direct ni ya CCM. Utaijua kwa ilivyo kaa kaa.
Pole ndugu yangu treni nasikia hujapona tangu ulivyoruhusiwa toka Milembe. Nadhani unaweza kurudi ili wakuangalie zaidi kwani maamuzi na Katiba Inayopendekezwa si ya CCM na TLP kama unavyodhani, ni ya Bunge Maalum la Katiba, constitution assembly ambalo lilikuwa na wawakilishi toka vyama vyote vya Siasa hadi mwisho wake. Kwa uelewa wako mdogo utasema UKAWA waliondoka. Taarifa sahihi ni kwamba baadhi ya wabunge wa vyama vinavyounda ukawa ndio waliondoka. Unataka kuniambia Mhe. John Cheyo, Hamad Rashid, Constantine Akitanda, Dovutwa A. Dovutwa, Shibuda na wengine wengi je ini wana CCM au TLP!!! Don't be narrow minded! Try to look for accurate information and don't rely on the gabbage you pick in the streets.
 
Ondo pumba zako kaka
Tereweni nilijua na wewe ni mtu mzima na tena una msimamo labda utakuja na hoja ya kupinga hii hoja sasa na wewe umeongea nini si ndio walewale waliojaza matuzi mdomoni, na hapa hukawii kuanza kutukana wewe,jenga hoja ueleweke mwenzio kasema sio ya CCM wewe unasemaje?
 
wew mnafiki acha kumtukana nyerere wetu wa leo. Haya sasa likatiba lenu la ccm lisha.buma.....hahahahah.... Si mlikataa mkasema kampeny hazitakuwa na agenda kuu ya katba?? Haya sasa yameshakuwa hivyo.

Jina lako lenyewe halieleweki kama yalivyo mawazo yako!!huwezi kuzui mafuriko kwa mdomo utakatika ulimi!!!!!
 
wew mnafiki acha kumtukana nyerere wetu wa leo. Haya sasa likatiba lenu la ccm lisha.buma.....hahahahah.... Si mlikataa mkasema kampeny hazitakuwa na agenda kuu ya katba?? Haya sasa yameshakuwa hivyo.

Wewe una Nyerere? Nyerere si alikuwa wa Watanzania wote we vp wewe?
 
Katiba si ya CCM ila maazimio yaliyomo ndani yake ni CCM na TLP waliyapitisha, hivyo basi wengi hupenda kusema ni ya ccm, Funguka akili wewe sio mpaka uambiwe direct ni ya CCM. Utaijua kwa ilivyo kaa kaa.

Sheria ya Mabadiliko ya Katiba sura ya 83 (toleo la mwaka, 2014) sehemu ya tano: kuhusu Kuitisha Bunge Maalum, inasema Kuitisha Bunge Maalum ni hakali kwa kuzingatia Sheria Na. 9 ya mwaka, 2013 na kuatangazwa kupitia Tangazo la Serikali Na.394 la mwaka 2011 Amri ya 2 aya (r) 22.-(1) kwamba kutakuwa na Bunge Maalum litakalokuwa na wajumbe wafuatao: (a) wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano; (b) wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar;

Kuhusu wajumbe hawa 201 watakaoteuliwa na Rais kwa makubaliano na Rais wa Zanzibar idadi hiyo inakamilika kutokana na mchanganuo huu: (i) wajumbe ishirini kutoka Taasisi zisizokuwa za Kiserikali. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba [Sura ya 83 Toleo la mwaka 2014] inasema (ii) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Kidini; (iii) wajumbe arobaini na mbili kutoka Vyama vyote vya Siasa vyenye usajili wa kudumu; (iv) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Elimu; (v) wajumbe ishirini kutoka katika makundi ya watu wenye ulemavu; (vi) wajumbe kumi na tisa kutoka Vyama vya Wafanyakazi; (vii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wafugaji; (viii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wavuvi; (ix) wajumbe ishirini kutoka Vyama vya Wakulima; (x) wajumbe ishirini kutoka makundi mengine yoyote ambayo yana malengo yanayofanana.

Sasa mimi Napata taabu sana na upotoshaji huu wa watu ambao ninahakika kuna kitu wanachokijua wao ambacho mimi na wenye nia njema na Tanzania yetu hwakijui " Katiba si ya CCM ila maazimio yaliyomo ndani yake ni CCM na TLP waliyapitisha, hivyo basi wengi hupenda kusema ni ya ccm, Funguka akili wewe sio mpaka uambiwe direct ni ya CCM".

Hawa ndiyo watu wanaopinga vitu bila kuwa nafacts zozote, kama kweli wewe una macho, una masikio hata kuambiwa huelewi? Ama kweli udanganyifu ni kufifisha ukweli na uhalali wa Katiba Inayopendekezwa. Wananchi msidanganywe na hawa wapotoshaji maana hawapo kwa mustakabali wa nchi yetu.
 
Katiba si ya CCM ila maazimio yaliyomo ndani yake ni CCM na TLP waliyapitisha, hivyo basi wengi hupenda kusema ni ya ccm, Funguka akili wewe sio mpaka uambiwe direct ni ya CCM. Utaijua kwa ilivyo kaa kaa.

Sheria ya Mabadiliko ya Katiba sura ya 83 (toleo la mwaka, 2014) sehemu ya tano: kuhusu Kuitisha Bunge Maalum, inasema Kuitisha Bunge Maalum ni hakali kwa kuzingatia Sheria Na. 9 ya mwaka, 2013 na kuatangazwa kupitia Tangazo la Serikali Na.394 la mwaka 2011 Amri ya 2 aya (r) 22.-(1) kwamba kutakuwa na Bunge Maalum litakalokuwa na wajumbe wafuatao: (a) wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano; (b) wajumbe wote wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar;

Kuhusu wajumbe hawa 201 watakaoteuliwa na Rais kwa makubaliano na Rais wa Zanzibar idadi hiyo inakamilika kutokana na mchanganuo huu: (i) wajumbe ishirini kutoka Taasisi zisizokuwa za Kiserikali. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba [Sura ya 83 Toleo la mwaka 2014] inasema (ii) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Kidini; (iii) wajumbe arobaini na mbili kutoka Vyama vyote vya Siasa vyenye usajili wa kudumu; (iv) wajumbe ishirini kutoka Taasisi za Elimu; (v) wajumbe ishirini kutoka katika makundi ya watu wenye ulemavu; (vi) wajumbe kumi na tisa kutoka Vyama vya Wafanyakazi; (vii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wafugaji; (viii) wajumbe kumi kutoka Vyama vinavyowakilisha Wavuvi; (ix) wajumbe ishirini kutoka Vyama vya Wakulima; (x) wajumbe ishirini kutoka makundi mengine yoyote ambayo yana malengo yanayofanana.

Sasa mimi Napata taabu sana na upotoshaji huu wa watu ambao ninahakika kuna kitu wanachokijua wao ambacho mimi na wenye nia njema na Tanzania yetu hwakijui “ Katiba si ya CCM ila maazimio yaliyomo ndani yake ni CCM na TLP waliyapitisha, hivyo basi wengi hupenda kusema ni ya ccm, Funguka akili wewe sio mpaka uambiwe direct ni ya CCM”.

Hawa ndiyo watu wanaopinga vitu bila kuwa nafacts zozote, kama kweli wewe una macho, una masikio hata kuambiwa huelewi? Ama kweli udanganyifu ni kufifisha ukweli na uhalali wa Katiba Inayopendekezwa. Wananchi msidanganywe na hawa wapotoshaji maana hawapo kwa mustakabali wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…