bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Tyta aka potato umekurupuka tena kama kawaida yako! Ila nashukuru kufahamu kipaji chako. Wewe ni mchoraji sio mzungumzaji au mtoa hoja. Njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu uwe unatuchorea makatuni ya kuchezea watoto. Unaonekana ni mzuri sana kwa hilo kama hucopy za wengine na kupaste. Tyta, tetty, pot, potato, potter pocher n.k upo!Kweli aisee huyu jamaa kambale na ni muongo aiseee hata simsikilizi na hayo madudu yake!!!