Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

Katuni%2BLEBA.jpg
l

AFU NA HILI HAPA UKALICHORA WAKATI UKAWA WANASAINI MAKUBALIANO YA KUTOSALITIANA WATAKAPOPATA MGOMBEA BINAFSI MMOJA MAANA KATIBA PENDEKEZWA IMEWEKA KIPENGELE HICHO CHA MGOMBEA BINAFSI SASA WAO WATAMUINGIZA KWENYE MAJARIBIO MWAKA 2020!
 
Wewe ndio unaota usiyejua nini kinaendelea kaa hivyo hivyo na utajikuta mpaka siku ya mwisho hujui arehe unakuja kukurupuka tumemaliza kupiga kura!kama una lingine useme!
Let us be known for the right things, man/woman!!! and not for wrong things. Therefore, we must have a change of Heart in the way we see sensitive/ serious matters like referendum. Let us have a false hope that It can be done, it will be done because if not done, we are done. PLEASE, COME again ON THAT DATE TO INFORM me THE REALITY ON THE GROUND, don't run away, you mother/father of lies!!!
 
Kwa mtanzania yeyote makini anajua katiba inayopendekezwa haina maoni ya watanzania kamwe. Maoni yao yaliondolewa na wanaccm! Ndo maana ccm wanataka katiba pendekezwa ipigiwe kura ya ndiyo.

Unadhalilisha watu wa Mbeya. Hawana mawazo machovu kama ya kwako. Badilika

Unarukia tu kisa umeona Anatoka mbeya unafikiri wote wana akili kama zako,UMELIWA UTABAKI PEKE YAKO HATA MKEO ATAPIGA NDIYO!!!,
 
Wewe ndio unaota usiyejua nini kinaendelea kaa hivyo hivyo na utajikuta mpaka siku ya mwisho hujui arehe unakuja kukurupuka tumemaliza kupiga kura!kama una lingine useme!
haya sema tena nani alikuwa sahihi kati yangu na wewe, Mimi nilisema haiwezekani, wewe ukaleta ujinga kuwa eti mwishoni mwa mwezi huu kura zitapigwa. Haya sasa mishipa imekusimama tena inakusimanga kwa ujinga wako. Huna maono unafanya mambo kiushabiki!!!! ONA AIBU, CHUTAMA
 
hawaongei kutoka moyoni..ni njaa kali zinawasumbua watu wa kaliba hiyo...
 
hawaongei kutoka moyoni..ni njaa kali zinawasumbua watu wa kaliba hiyo...
Asante ndg yangu kumbe nawe umewaona!!! sasa kaangalie tarehe walizojiunga na JF, kama sio mwezi wa pili basi ni mwezi wa tatu mwaka huu. Wanaunga mkono hata ujinga
 
Asante ndg yangu kumbe nawe umewaona!!! sasa kaangalie tarehe walizojiunga na JF, kama sio mwezi wa pili basi ni mwezi wa tatu mwaka huu. Wanaunga mkono hata ujinga

Aibu sana mwanaume kuamua kuwa mali ya mtu. Sijui unamwambia nini mkeo
 
Asante ndg yangu kumbe nawe umewaona!!! sasa kaangalie tarehe walizojiunga na JF, kama sio mwezi wa pili basi ni mwezi wa tatu mwaka huu. Wanaunga mkono hata ujinga

Tarehe inakuhusu nini wewe? Kwani mtoto akizaliwa ni makosa? Tarehe ya mwana JF sii kigezo cha kumhusisha mtu na unachofikiri wewe. Hoja hapa ni msingi wa majadiliano ambayo wote tujadili kwa hoja na wa wala sii kwa tarehe ya kujiunga JF
 
Aibu sana mwanaume kuamua kuwa mali ya mtu. Sijui unamwambia nini mkeo

Lusajo 11. Utaratibu wa maisha yako na familia yako mnaujua ninyi wenywe, yatufaa nini sisi kutuambia hayo? Letu ni kujadiliana kwa malengonya kujenga nchi yetu. Ya nyumbani kwako mtajuana wewe na mmeo au mkeo. Utaifa kwanza
 
Kazi yako ndiyo hiyo siyo ? fanya kwa kujenga nchi yako siyo kwa kubomoa nchi yako. Nchi inajengwa na wananchi wenyewe. Hivyo tuungane kuijenga nchi yetu

huwezi kujenga nchi kwa rasimu za maigizo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Asante ndg yangu kumbe nawe umewaona!!! sasa kaangalie tarehe walizojiunga na JF, kama sio mwezi wa pili basi ni mwezi wa tatu mwaka huu. Wanaunga mkono hata ujinga
we mpuuzi sana kwani kujiunga na kutoa hoja zenye akili kuna husiana nini?
 
Hivi huoni aibu kuja hapa kutaka kuudanganya umma wa Watanzania waliokuwa wanafuatilia kwa karibu sana Bunge la Katiba na kujionea wenyewe uhuni uliofanywa na wahuni ndani ya CCM kuyachakachua maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba na wahuni hao wa CCM kuingiza maoni yao na kisha kufanya uhuni na wizi katika kura ya maoni ya kuhesabu hata kura za wafu na wengineo walio nje ya nchi wakati ule kwa safari za kidini na hata Wazenj ambao waliamua kujiondokea baada ya kuona uhuni wa hali ya juu na matusi ya nguoni katika Bunge lile!? Msiwafanye Watanzania wajinga kiasi hicho kwamba katika miezi hii michache tangu kumalizika Bunge la katiba wamesahau aibu kubwa waliyoiona ndani ya Bunge lile la Katiba ambalo ndilo lilikuwa chanzo cha kuzaliwa UKAWA.

Watanzania katiba Inayopendekezwa siyo ya CCM kama wanavyodai baadhi ya watu na kuwashawishi wasiipigie kura, acheni kuwasikiliza watu hao, Aprilli 30 jitokezeni kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo kama inavyosisitizwa na viongozi wetu akiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Tarehe inakuhusu nini wewe? Kwani mtoto akizaliwa ni makosa? Tarehe ya mwana JF sii kigezo cha kumhusisha mtu na unachofikiri wewe. Hoja hapa ni msingi wa majadiliano ambayo wote tujadili kwa hoja na wa wala sii kwa tarehe ya kujiunga JF
Yaani kwa hilo ndo nawashangaza hao watu nahc wametumwa, hawana hoja zaidi ya kuangalia nani kajiunga lini wakati kujiunga zamani au sasahivi wala sio kigezo cha kuweza kujibu hoja, ndo maan waswahili wanasema kubwa jinga ndo hao.
 
Back
Top Bottom