Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

rasimu ya kwako iko wapi mpaka upondee hii?

Katuni%2BSix.jpg
 
Mkuu Tyta hawa Buku 7 wamemwaga wengi sana hapa naona ndiyo ilikuwa katika kuelekea April 30 kabla ya kujua kwamba kura itaahirishwa, kwa mwendo huu basi tutegemee magunia ya Buku 7 kumwagwa hapa kuelekea uchaguzi October, 2015.

teh teh...what a comment from a ''NEWLY REGISTERED MEMBER''........kazi maalum since 2011....pathetic....
 
Last edited by a moderator:
Hivi huoni aibu kuja hapa kutaka kuudanganya umma wa Watanzania waliokuwa wanafuatilia kwa karibu sana Bunge la Katiba na kujionea wenyewe uhuni uliofanywa na wahuni ndani ya CCM kuyachakachua maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba na wahuni hao wa CCM kuingiza maoni yao na kisha kufanya uhuni na wizi katika kura ya maoni ya kuhesabu hata kura za wafu na wengineo walio nje ya nchi wakati ule kwa safari za kidini na hata Wazenj ambao waliamua kujiondokea baada ya kuona uhuni wa hali ya juu na matusi ya nguoni katika Bunge lile!? Msiwafanye Watanzania wajinga kiasi hicho kwamba katika miezi hii michache tangu kumalizika Bunge la katiba wamesahau aibu kubwa waliyoiona ndani ya Bunge lile la Katiba ambalo ndilo lilikuwa chanzo cha kuzaliwa UKAWA.
acha mbwembwe zako wewe wao walitoka wenyewe na bunge lilikuwa halali kwa Sheria ya gazeti la tangazo la serikali Na GN 254 na kura baadae ziliweza kuipitisha katiba hiyo, usiropoke vitu tu kisa umeskia kwa watu.
 
Mkuu Tyta hawa Buku 7 wamemwaga wengi sana hapa naona ndiyo ilikuwa katika kuelekea April 30 kabla ya kujua kwamba kura itaahirishwa, kwa mwendo huu basi tutegemee magunia ya Buku 7 kumwagwa hapa kuelekea uchaguzi October, 2015.
Watu wanawaona wajinga mnapowasema hao watu, wekeni hoja kwa maana mnapowadiscuss mjue ndo mnawakubali na mnaonekana mmeishiwa hoja, wenzenu wanatumia mwanya huo huo, rudini kwenye mada hayo mmayoyadiscud wala hayatowasaidia kitu zaidi ya kupoteza muda wenu tu.
 
Nchi haiwezi kujengwa na wahuni, mafisadi, wauza unga, majangili, magaidi na wapokea rushwa hadi ndani ya Ikulu wewe, acha kuandika pumba, jitambue. Mpaka nchi wafadhili wamestuka na pesa zao baada ya kuona rushwa ya kutisha ndani ya Ikulu kwa pesa za umma na hakuna hatua yoyote kwa wahusika.

Kazi yako ndiyo hiyo siyo ? fanya kwa kujenga nchi yako siyo kwa kubomoa nchi yako. Nchi inajengwa na wananchi wenyewe. Hivyo tuungane kuijenga nchi yetu
 
Hivi huoni aibu kuja hapa kutaka kuudanganya umma wa Watanzania waliokuwa wanafuatilia kwa karibu sana Bunge la Katiba na kujionea wenyewe uhuni uliofanywa na wahuni ndani ya CCM kuyachakachua maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba na wahuni hao wa CCM kuingiza maoni yao na kisha kufanya uhuni na wizi katika kura ya maoni ya kuhesabu hata kura za wafu na wengineo walio nje ya nchi wakati ule kwa safari za kidini na hata Wazenj ambao waliamua kujiondokea baada ya kuona uhuni wa hali ya juu na matusi ya nguoni katika Bunge lile!? Msiwafanye Watanzania wajinga kiasi hicho kwamba katika miezi hii michache tangu kumalizika Bunge la katiba wamesahau aibu kubwa waliyoiona ndani ya Bunge lile la Katiba ambalo ndilo lilikuwa chanzo cha kuzaliwa UKAWA.
haihitaji kutumia nguvu nyingi kufahamu hawa waliojiunga march kutetea kitabu cha j0ka la makengeza ni ''remote controlled''.......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Tyta hawa Buku 7 wamemwaga wengi sana hapa naona ndiyo ilikuwa katika kuelekea April 30 kabla ya kujua kwamba kura itaahirishwa, kwa mwendo huu basi tutegemee magunia ya Buku 7 kumwagwa hapa kuelekea uchaguzi October, 2015.
Tyta na BAK kazi ya kujibu hoja naona imewashinda, nawashauri sasa mpumzike maana watu wanategemea mjibu hoja lakini nyie mnawekammambo yasiyo na maana, hivi hamuoninkuwa hizo discussion zenu zinawezapelekea matuc na kuharibu maana nzima ya hii forums? Tumieni akili msiwe kama watoto wadogo wajameni.
 
Lazima wajadiliwe wewe, CCM imetenga bajeti maalum kwa Buku 7 halafu wewe unataka wasijadiliwe! Badilika bana jitambue Elimu Mulugo Divion 5. Achana na kuwasaliti Watanzania wenzio.

Watu wanawaona wajinga mnapowasema hao watu, wekeni hoja kwa maana mnapowadiscuss mjue ndo mnawakubali na mnaonekana mmeishiwa hoja, wenzenu wanatumia mwanya huo huo, rudini kwenye mada hayo mmayoyadiscud wala hayatowasaidia kitu zaidi ya kupoteza muda wenu tu.
 
Watu wanawaona wajinga mnapowasema hao watu, wekeni hoja kwa maana mnapowadiscuss mjue ndo mnawakubali na mnaonekana mmeishiwa hoja, wenzenu wanatumia mwanya huo huo, rudini kwenye mada hayo mmayoyadiscud wala hayatowasaidia kitu zaidi ya kupoteza muda wenu tu.

acha unafiki...kuanzia ID yako mpaka avatar imejaa roho ya chuki halafu unajiona mwerevu...jiongeze wewe mchumia tumbo...
 
haihitaji kutumia nguvu nyingi kufahamu hawa waliojiunga march kutetea kitabu cha j0ka la makengeza ni ''remote controlled''.......
anyway kwasabu mmeishiwa hoja au mmeshindwa kubishana kwa hoja, nyie endeleeni afu tuone mwisho wa siku mmeambukia nini? Kwa maana hiinkatiba inayopendkezwa itapita na sijui mtaficha wapi hizo id zenu na nahc mtaziondoa ama kubadili majina kwa lengo la kuficha aibu.
 
Lazima wajadiliwe wewe, CCM imetenga bajeti maalum kwa Buku 7 halafu wewe unataka wasijadiliwe! Badilika bana jitambue Elimu Mulugo Divion 5. Achana na kuwasaliti Watanzania wenzio.

hizi ni ID za msimu,amini nakwambia hutaziona baada ya kura za rasimu,mkataba wao utakuwa umeisha
 
Kwi kwi kwi lol! huna hoja Elimu Mulugo Division 5. Hoja yako ni kutaka kuudanganya umma wa Watanzania eti katiba si ya MACCM!!! hahahahahahaha uongo wako peleka kwa Mainterehamwe wenzio pale Lumumba hapa tutakupa za uso tu.

Tyta na BAK kazi ya kujibu hoja naona imewashinda, nawashauri sasa mpumzike maana watu wanategemea mjibu hoja lakini nyie mnawekammambo yasiyo na maana, hivi hamuoninkuwa hizo discussion zenu zinawezapelekea matuc na kuharibu maana nzima ya hii forums? Tumieni akili msiwe kama watoto wadogo wajameni.
 
Kwa mtanzania yeyote makini anajua katiba inayopendekezwa haina maoni ya watanzania kamwe. Maoni yao yaliondolewa na wanaccm! Ndo maana ccm wanataka katiba pendekezwa ipigiwe kura ya ndiyo.
Ukiwa na akili ndogo lazima utaamini haya unayosema.
 
Kwi kwi kwi lol! huna hoja Elimu Mulugo Division 5. Hoja yako ni kutaka kuudanganya umma wa Watanzania eti katiba si ya MACCM!!! hahahahahahaha uongo wako peleka kwa Mainterehamwe wenzio pale Lumumba hapa tutakupa za uso tu.
We jidanganye tu, alokwambia maneno yaua nani? Wala sipato stress zaidi ya kuonekana wewe huna akili kichwani na umekosa uzalendo kwa nchi yako, ccm haina katiba, katiba ni yanwatu wote pamoja na wewe.
 
teh teh...what a comment from a ''NEWLY REGISTERED MEMBER''........kazi maalum since 2011....pathetic....

Mkuu Tyta, huyo usinichukie sijui na unayemchukia karudi no mtu mmoja. Id za Lumumba hizo kwa kazi maalum iliyobuma rasmi Jana. Chezea UKAWA!
 
Kumbe boss wenu ni ukawa, sawasawa ndo maan watu wanawajua tu nyie mmetumwa na hao watu, tyta, bak pamoja na wewe ni vibaraka wa ukawa, endeleeninkutumika katiba haijabuma muda umeongozwa mbele lakini mwisho wa siku kura zitapigwa na katiba hii itapita, siku hiyo usijeukala nduki tu tafadhali.
 
Back
Top Bottom