Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Ukawa wamekuambieni wao hawashiriki, kaeni kimya itisheni hiyo kura ya maoni pigeni kura mtakutana na wenye nchi siku hiyo inakuja.
Wewe ni kijana gani usiyejitambua, mawazo yako unatembea nayo mfukoni!!!wewe mwenyewe kilaza kura itapigwa na ushindi utapatikana!!!!