Katiba ingelikuwa bora, "wana-CCM wa shamba" msingelikubali hili

Katiba ingelikuwa bora, "wana-CCM wa shamba" msingelikubali hili

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Ninaamoni katiba ingelikuwa ni bora, inayotoa fursa sawa ya uhuru wa mtu kuamua, kuchagua na kumpata mgombea anayemtaka, washamba ndani ya ccm mngefanya maamuzi na maamuzi yenu yangepata ushindi. Kwasbb washamba ni wengi.

Lkn kwa katiba hii, wingi wenu hauna tija, hauna mashiko na ndiyo maana watoto wa mjini wanachezea sharubu zenu na hamna kitu mtawafanya. Kwasabb silaha zote wameshika wao na makali ya hizo silaha yameelekezwa kwenu.

Kwahiyo, suala la katiba mbovu haliumizi wapinzani tu. Katiba mbovu inaumiza kila kundi na kila nyanja za maisha. Hebu kama taifa tulione hili na tupiganie katiba mpya.
 
Kwani wakisema wao wa mjini mkuu tatizo liko wapi hawafi au hawaendi chooni hao wa shamba ndio wenye kumiliki hayo maghorofa hapo city center!
 
Back
Top Bottom