Nape Nnauye
MP Mtama
- Dec 26, 2012
- 99
- 408
Toka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao kimsingi ndio wanaopaswa kuwa wenye Katiba mpya. Kwanini viongozi wetu hawa wakijamii na kisiasa tusiwape room wananchi watoe maoni yao kwanza ndipo nasi tupate muda wa kujenga juu ya maoni yao?
TUIFANYE KATIBA YA WANANCHI SIO YA VIONGOZI

Katika hali ambayo itaanika rangi za wasomi wetu, tumebahatika sisi wadanganyika kumpata msomi mwengine wa aina ya Dr. Mwakyembe ambaye amejotoa ufahamu kwa tamaa ya vyeo kwa kusema Katiba si kipaumbele cha awamu ya 5. Leo yupo Prof. Paramagamba Kaputi(Kabudi) ambaye ni msomi aliyeandika sana kuhusu Muungano wa Tanzania na Mambo ya Katiba, pia alikuwa kwenye tume ya Warioba kama Polepole amekabidhiwa wizara, Je atahakikisha Tanzania inapata Katiba ya kuibeba CCM au Katiba ya wananchi?Hii ni rasimu ya katiba ya Tanzania.
Kamwe hii sio rasimu ya katiba ya CCM.
Mwelekeo ni kuwa inaumiza chama tawala.
Ni bora waseme itawaumiza kivipi?
NOTE: Tunatengeneza katiba kwa ajili ya wananchi wa jamhuri bila kujali itikadi.
We are waiting how this game will end-up!
Mungu ibariki Tanzania.
Leo mñajibizana namna hiyo? Naamini Tanzania ndiyo nchi itakayokuwa inaongoza kwa unafiki duniani. Rais Magufuli amewakusanya waliokuwa wanarefusha midomo juu ya Katiba kuanzia Polepole, Kabudi na Kitila Mkumbo. Sasa mko ubavuni kwake, mnaanza kumchokonoa, hamjui hajaribiwi? Nape leo anatafuta huruma ya Watanzania kwa kudhani jamii kama vile haimjui. Ccm walishafunga mjadala kama chama, na Nape anajua hilo. Sasa hii hadaa analeta ya nini?Ndugu Nape viongozi pia ni wananchi! Hili neno wananchi limeanza kutumika vibaya sana katika nchi yetu. Sote ni watanzania tuache kubaguana kwa njia yeyote ile.