Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona alilisema toka 2013 (4yrs before)najiraumu maishani mwangu kupoteza dakika zangu kusoma uzi huu, kwann hukuyasema haya before pindi ukiwa katika position nzur chamani, ww subilia kuvuliwa uanachama tu
Toka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao kimsingi ndio wanaopaswa kuwa wenye Katiba mpya. Kwanini viongozi wetu hawa wakijamii na kisiasa tusiwape room wananchi watoe maoni yao kwanza ndipo nasi tupate muda wa kujenga juu ya maoni yao?
TUIFANYE KATIBA YA WANANCHI SIO YA VIONGOZI
Mayu siku hizi naona unaangalia maslahi ya tumbo kwanza,umeacha kusema ukweli umepoteza haiba kwa jamii ya watanzania waliokuwa wakikuona kama msomi mwenye hoja za mashiko.Ndugu Nape viongozi pia ni wananchi! Hili neno wananchi limeanza kutumika vibaya sana katika nchi yetu. Sote ni watanzania tuache kubaguana kwa njia yeyote ile.
Kwa nini chama chako kilikataa maoni ya wananchi? Kwanini ccm tu ambao ni viongozi wanaogopa mfumo wa Muungano ulio kusudiwa wa serikali tatu? Kwa nini haya maneno huku yasema hadharani badala yake Unakuja kwenye mitandao? Najua wewe ni muumini wa serikali moja, ila kwa nini unakataa maoni ya wengi? Serikali tatu Kw nini hamutaki?Toka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao kimsingi ndio wanaopaswa kuwa wenye Katiba mpya. Kwanini viongozi wetu hawa wakijamii na kisiasa tusiwape room wananchi watoe maoni yao kwanza ndipo nasi tupate muda wa kujenga juu ya maoni yao?
TUIFANYE KATIBA YA WANANCHI SIO YA VIONGOZI
Hii katiba ya sasa ipo upande gani? Ya wananchi au viongozi wa ccm?Toka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao kimsingi ndio wanaopaswa kuwa wenye Katiba mpya. Kwanini viongozi wetu hawa wakijamii na kisiasa tusiwape room wananchi watoe maoni yao kwanza ndipo nasi tupate muda wa kujenga juu ya maoni yao?
TUIFANYE KATIBA YA WANANCHI SIO YA VIONGOZI
Huyu ndio Nnape si huyu awamu ya kusifuToka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao kimsingi ndio wanaopaswa kuwa wenye Katiba mpya. Kwanini viongozi wetu hawa wakijamii na kisiasa tusiwape room wananchi watoe maoni yao kwanza ndipo nasi tupate muda wa kujenga juu ya maoni yao?
TUIFANYE KATIBA YA WANANCHI SIO YA VIONGOZI
Nimekuelewa Sanauonapo nyundo usifikiri kila tatizo ni musumari
Ndiyo Huyo Huyo!!!Huyu ndio Nnape si huyu awamu ya kusifu
Cardiac arrestMuda Huu Kule Anapata Notification Kwenye Account Yake
Anasema Moyoni Nani Kafukua Kaburi Hili La 2013
Wakati huo ulikuwa na akili sana!Ndugu Nape viongozi pia ni wananchi! Hili neno wananchi limeanza kutumika vibaya sana katika nchi yetu. Sote ni watanzania tuache kubaguana kwa njia yeyote ile.
Upo sawa lakini point ya muhimu ni katiba iwe inawawakilisha wananchi wa kawaida na sio wanasiasa!Ndugu Nape viongozi pia ni wananchi! Hili neno wananchi limeanza kutumika vibaya sana katika nchi yetu. Sote ni watanzania tuache kubaguana kwa njia yeyote ile.
Leo hii akiambiwa hivyo atakana . Viongozi wetu ni wanafikiToka rasimu ya Katiba mpya itolewe viongozi wengi wa kisiasa na kijamii wamekuwa wakitoa maoni yao hadharani juu ya rasimu hiyo, madhara ya hili ni kujaribu ku influence mawazo ya wananchi ambao kimsingi ndio wanaopaswa kuwa wenye Katiba mpya.
Kwanini viongozi wetu hawa wakijamii na kisiasa tusiwape room wananchi watoe maoni yao kwanza ndipo nasi tupate muda wa kujenga juu ya maoni yao?
TUIFANYE KATIBA YA WANANCHI SIO YA VIONGOZI
Ukimuuliza leo atazuga na kuikana kauli hiiMh Nape Nnauye hapa ulitoa mawazo mazuri sana