Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Wanaandikisha wapi ndugu unayesema kweli na haupotoshi umma
Makiri Unguluma, Taarifa ninayoijua mimi zoezi la uandokishaji liifanyika katika baadhi ya maeneo ikiwa ni uandikishaji wa awali na zoezi hilo litaendelea pia katika maeneo mengine,sasa mchangiaji huyo anamanisha kwamba siku eneo lako likifikiwa utake action ya kwenda kujiandikisha ili uwe na haki ya kupiga kura si tu kwa katiba inayopendekezwa pia uchaguzi mkuu na chaguzi nyingine!