Katiba kitu gani

Katiba kitu gani

Ndg yangu Laizer usikate tama, bado mapema sana. Tuwaachie NEC wafanye kazi yao na wao ndiyo wenye jukumu la kutuambia nini cha kufanya, kwa muda gani na wakati gani. Hao ndiyo haswaa wahusika wakuu wa kiambia jamii ya Watanzania na sii vinginevyo, maana kuna watu wameibuka na kutaka kuwa wao ndiyo wasemaji wa NEC. Hao watawadanganya na kuwapotosha wananchi. Sasa ni wajibu wa kila mtu apate nafasi ya kuisoma katiba inayopendekezwa ili aweze kufanya maamuzi sahihi.

NEC Yenyewe Wamejaa CCM Tupu Na KATIBA Yenyewe Ni Yao ....UNATEGEMEA HAKI HAPO?

Em Tusidanganyane.
 
katiba yenyewe imezidi kutunyonga sisi wa chini.

Duh! Ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.

Kura yangu ni ya hapana

laizer tuungane kupiga kura ya ndiyoo achana na huyu dingswayo na jina lake la ukimbizi.
 
NEC Yenyewe Wamejaa CCM Tupu Na KATIBA Yenyewe Ni Yao ....UNATEGEMEA HAKI HAPO?

Em Tusidanganyane.
Acha kukalili bwan Laizer, hatuko sekondari hapa ulikozoea kukalili dictionary, Unaushaidi gani kuwa NEC wamejaa ccm? Weka ushahidi ndipo useme hayo maneno yako. Soma katiba pendekezwa uielewe na upate majibu juu ya mada husika.
 
laizer tuungane kupiga kura ya ndiyoo achana na huyu dingswayo na jina lake la ukimbizi.

Hayo ni mawazo yako binafsi na usitegemee kuwa yanaweza lingana na yangu.

kama kura yako ni NDIYO wee fanya ivo kibinafsi afu ukishamaliza nakusihi uhudhurie MIREMBE Ukapimwe maana Akili itakua haiko sawa.

wee KATIBA Yenyewe inataka kututenganisha afu nyinyi vijiwatu cjui mmehongwa muendekeze mnachofanya hapa!

Na Huyu anaesema cjui ninachokiongelea yeye anafkiri Kwamba naongelea MATAKONI Kama yeye!? na asitegemee Fikra zangu na zake zilingane
 
Acha kukalili bwan Laizer, hatuko sekondari hapa ulikozoea kukalili dictionary, Unaushaidi gani kuwa NEC wamejaa ccm? Weka ushahidi ndipo useme hayo maneno yako. Soma katiba pendekezwa uielewe na upate majibu juu ya mada husika.

Huwezi kujua wewe maana hujui kinachoendelea Au unafkiria nimekurupuka nikasema ivo!!!
 
Huwezi kujua wewe maana hujui kinachoendelea Au unafkiria nimekurupuka nikasema ivo!!!
Tumekuzoea sana unaparamia unadhani huu ni mti, uko kama mwanafunzi asiyefata maelekezo class matokeo yake unafeli kama ulivyofeli wakati uko sekondari kidato cha nne, je unabisha?
 
Hadi nakosa la kusema mtu unapofikia kusema sheria mama haina maana kwako! hiyo ni kuchagua maisha huria ya bila muongozo,hebu tutulize vichwa tu na kuwa na katiba yetu,tena kupitia katiba hihii pendekezwa!
 
Sawa sawa bwana Makweya naungna na wewe katika hilo.
 
Katiba Yenyewe Imezidi Kutunyonga Sisi Wa Chini.duh! ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.KURA YANGU NI YA Hapana
ndg nakushauri uisome tena na tena katiba inayopendekezwa,utaielewa na mwisho utaiunga mkono na pia utasaidia kuwaelimisha watanzania wengine wenye mtizamo hasi kuhusu katiba inayopendekezwa hasa baada ya kupotoshwa na watu wachache wenye nia mbaya na taifa hili
 
"Kwa kuwa, sisi wananchi wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tumeamua rasmi na kwa dhati
kujenga katika nchi yetu jamii
inayoheshimu na kuzingatia misingi
ya utu na udugu, uhuru,
kujitegemea, haki, usawa, amani na
utulivu, umoja na mshikamano
katika nyanja zote za maisha yetu

HAYO NI MAANDISHI TU KAMA MAANDISHI MENGINE

Wewe Laizer wa wapi??? acha kuongea usichokijua hata hiyo katiba unayochangia mishipa imekusimama kwa kuipinga si imejaa maandishi? sasa kelele za nini au huelewi ndugu?
 
“Kwa kuwa, sisi wananchi wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tumeamua rasmi na kwa dhati
kujenga katika nchi yetu jamii
inayoheshimu na kuzingatia misingi
ya utu na udugu, uhuru,
kujitegemea, haki, usawa, amani na
utulivu, umoja na mshikamano
katika nyanja zote za maisha yetu

HAYO NI MAANDISHI TU KAMA MAANDISHI MENGINE

Wewe sawa na 0+0= 0
 
Ndg yangu Laizer usikate tama, bado mapema sana. Tuwaachie NEC wafanye kazi yao na wao ndiyo wenye jukumu la kutuambia nini cha kufanya, kwa muda gani na wakati gani. Hao ndiyo haswaa wahusika wakuu wa kiambia jamii ya Watanzania na sii vinginevyo, maana kuna watu wameibuka na kutaka kuwa wao ndiyo wasemaji wa NEC. Hao watawadanganya na kuwapotosha wananchi. Sasa ni wajibu wa kila mtu apate nafasi ya kuisoma katiba inayopendekezwa ili aweze kufanya maamuzi sahihi.
Mr au kijana Laizer don't be pessimistic. Umekosa matumaini na unaona kama uandikishaji unabagua vijana. Kukata kwako tamaa usiwaambulize wengine. Naona roho ya usaliti imekuvaa kama kwa Yuda Iskarioti. Kuwa muungwana na shiriki zoezi la uandikishaji ili upige kura ya NDIYO kwa katiba inayopendekezwa.
 
Katiba Yenyewe Imezidi Kutunyonga Sisi Wa Chini.

duh! ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.

KURA YANGU NI YA Hapana

Laizer naomba ujenge tabia ya kufafanua kauli zako ili ueleweke pia kutuonyesha hoja halisi maana ukiishia kusema katiba yenyewe imezidi kutunyonga sisi wa chini ni akina nani hao?pia unasema aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyanganywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho, mmh mimi napata mashaka kuhusu matumizi ya maneno haya Biblical words altered by Jesus Christ hivi ni kweli umeyaelewa au umeamua kuyatumia kishabiki ili upotoshe umma kwa ujumbe usioeleweka?
 
Back
Top Bottom