Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
- Thread starter
- #61
Ndg yangu Laizer usikate tama, bado mapema sana. Tuwaachie NEC wafanye kazi yao na wao ndiyo wenye jukumu la kutuambia nini cha kufanya, kwa muda gani na wakati gani. Hao ndiyo haswaa wahusika wakuu wa kiambia jamii ya Watanzania na sii vinginevyo, maana kuna watu wameibuka na kutaka kuwa wao ndiyo wasemaji wa NEC. Hao watawadanganya na kuwapotosha wananchi. Sasa ni wajibu wa kila mtu apate nafasi ya kuisoma katiba inayopendekezwa ili aweze kufanya maamuzi sahihi.
NEC Yenyewe Wamejaa CCM Tupu Na KATIBA Yenyewe Ni Yao ....UNATEGEMEA HAKI HAPO?
Em Tusidanganyane.