jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
- Thread starter
- #41
Wananchi wa wapi waliomba katiba mpya?zaidi ya wanasiasa kuwajazia maneno mdomoni?Wee nawe, hatudai katiba mpya ya rais au CCM, tunadai katiba mpya ya wananchi. Hii ya wananchi ipo kwenye ilani ya mioyo yao toka miaka 30 iliyopita.