Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

Wee nawe, hatudai katiba mpya ya rais au CCM, tunadai katiba mpya ya wananchi. Hii ya wananchi ipo kwenye ilani ya mioyo yao toka miaka 30 iliyopita.
Wananchi wa wapi waliomba katiba mpya?zaidi ya wanasiasa kuwajazia maneno mdomoni?
 
Wameteuliwa kina fatma Alimas ukuu wa wilaya , nyie waimba mapambio ya kusifu na kuabudu toka enzi za mwendazake mnasugua makalio tu jf hamjakoma tu .
Kwani wapi uliona ninapost kutaka uteuzi?
 
Pole itakuwepo na maslahi yako yaliyomo yataporomoka na hata usiamini macho yako.
 
CCM ndo kitu gani mbele ya TAIFA, nyie ni wapangaji tu, kibri chenu Cha kuwapanda kichwani wenye nyumba yao , kitawatoke puani, ipo siku asema bwana
 
Kwa hiyo CCM ndio wakuamua suala la katiba mpya?
 
maneno huumba, lilivyo jina lako na kweli wewe sio mjinga tu bali mpuuzi wa kupuuzwa hadi na jiwe ambalo haliongei wala kujigusa.
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona vimeumana mkuu, sorry wew umewahi kufika Dubai?
 
Huu ni ushabiki sasa! Mabadiliko hayapatikani mara zote kwenye saucer! Katiba lazima ibadilike mara kwa mara kulingana na mahitaji ya nchi. suala ni lini mabadiliko yafanyike!
 
Hoja zako zinafanan na za Salum Mkambala
 
Usimtaje marehemu ambaye kwa kweli mfumo mzima wa utawala aliuharibu kiasi cha kuvuruga hata mifumo ya uchaguzi, kuanzia ndani ya chama, mpaka nje ya chama.

Mwaka 2020 hakukuwana uchaguzi, kilichofanyika ni dikteta kuwapachika watu wake aliowataka, ambao Rais Samia ana kazi kubwa kuwachunguza ili kuwatambua wale waliowekwa na shetani kwenye utawala lakini wao binafsi siyo mawakala wa shetani, na wale ambao waliwekwa na shetani kwa sababu na wao wenyewe ni wa shetani. Hawa wa kundi la pili, wanaondolewa taratibu.
 
Msisahau kuwa Vijana na nguvu zao wapo
 
Katiba mpya sio suala la CCM au mtu,ni suala la wenye nchi wote na sio kikundi cha wachache wanaojiita CCM,UKIELEWA hapa utahangaika
 
Kwani tunadai katiba ya CCM.
 
Katiba sio hisani, katiba ni takwa la wananchi wenye akili
 
How possible mtu mwenye akili fupi kama wewe unafungua uzi?!Unaelewa kuwa takwa la katiba mpya siyo takwa la CCM wala chadema bali ni takwa la wananchi?
 
Majambazi kama sabaya kuwepo kwenye ofisi za umma ipo kwenye ilani yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…