Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

Mtaniuwia radhi mimi sijaguswa kabisa kabisa kwa sabau barabara niyatumia ina mabonde zaidi ya miaka 19 iliyopita, sijaona kipya chochote katka maisha yangu kwa hiyo sijaguswa
 
Hili lijamaa kama punga vile, kichwani una kinyesi ! Unafikiri katiba ya nchi ni note book unayoweza kuchana ama kuandika utakacho muda wowote ? Hilo bao ndigi ako alilotoa ni hasara kwa jamii
Wala usilete makasiriko yako hapa. Jibu ni moja tu kuwa tutabadilisha katiba yetu ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu
 
Wee na
We na Nan?
 
Mtaniuwia radhi mimi sijaguswa kabisa kabisa kwa sabau barabara niyatumia ina mabonde zaidi ya miaka 19 iliyopita, sijaona kipya chochote katka maisha yangu kwa hiyo sijaguswa
Barabara ya wapi hiyo ili nifuatilie muweze kupata barabara safi.
 
Tatizo binadamu huwa tunapanga na Mungu naye huwa anapanga yake
 
Someni alama za nyakati mkae kimya kwanza, huku hivi sasa kunanuka norene na sio ottu.
 
No reform no election πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Kwa akili hii nadhani familia yako ndo inahitaji uongozi maana haiwezi kuongoza familia so mchukue akuongozee familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…