Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

Nakuhakikishia akifika 2030 kama tusipouzwa kama alivyosema Ndugai basi hazina Itakuwa ni 0.0 tsh...
 
Wewe unatumwa kubadili upepo, ila kawajibu kuwa hii pia imebuma. Bado tuko na No Reforms No Elections. Tuko na wakati wa sasa. Mwambie wananchi wanataka aingie kwenye nafasi sawa ya kugombea uRais pamoja na wagombea wengine mwaka huu.
 
Lucas Mwashambwa Uchawa wa jinsi hii ni wa kipumbavu na kijuha. Unafikiri unamsaidia Mama kumbe ndio unazidi kumharibia. Kama huna cha kuposti ni heri ukakaa kimya. Wapuuzi wote mnaomharibia mama itabidi tuanze kuwashughulikia😡
 
Hata Jpm mlisema hivyo ,yuko wapiiii?
 
Wewe unatumwa kubadili upepo, ila kawajibu kuwa hii pia imebuma. Bado tuko na No Reforms No Elections. Tuko na wakati wa sasa. Mwambie wananchi wanataka aingie kwenye nafasi sawa ya kugombea uRais pamoja na wagombea wengine mwaka huu.
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa. Watanzania wana imani kubwa sana na tume huru ya uchaguzi na wapo tayari kushiriki uchaguzi kikamilifu
 
Wewe unatumwa kubadili upepo, ila kawajibu kuwa hii pia imebuma. Bado tuko na No Reforms No Elections. Tuko na wakati wa sasa. Mwambie wananchi wanataka aingie kwenye nafasi sawa ya kugombea uRais pamoja na wagombea wengine mwaka huu.
Hamna anaemtuma huyu
 
Acha uoga kama kunguru
Mwashambwa nikupe hongera sana, unajua una roho kama ya kambale,
Kambale hata maji yakikauka bwawani, mvua ya kwanza tu kaibuka. Watu wanakuparamia lkn umo tu na mabosi zako hata kukuona wamefumba macho, Utalipwa baadae, vumilia hadi uchaguzi upite, kwenye safu mpya UDC unao. Keep it up
KUNGURU MUOGA ...........
 
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkubwa Lucas Mwashambwa kwa staili hii na hali ilivo naona ni kama unajipaka mavi sokoni, kuna mijadala sio ya kuizua kipindi kama hiki ambacho wadau hawaelewi nini kinaendelea, msifie Mhe Rais kwa unayoyaona yamefanyika ila ukileta mjadala wa kuongeza miaka ya kuongoza tena kwa kipindi hichi ni unazidisha hasira hata kwa ambao hasira hazijakolea, kuwa na kipimo cha kusifu ili usiharibu mazima.
 
Kipindi cha Rais Mwinyi kuna watu walitamani yatokee haya ya kubadili katiba ila haikuwezekana na ndipo tukapata nafasi ya kumfahamu Rais Mkapa na mambo mengi mazuri aliyolifanyia taifa letu. Wapo waliotamani Rais Mkapa atawale zaidi ya miaka kumi lakini haikuwa hivyo na katiba yetu iliendelea kutoa fursa ya kupatikana Rais Kikwete na alileta maendeleo kwa kipindi chake kama ilivyokuwa kwa marais wengine waliomtangulia lakini bado katiba yetu ikatupa fursa ya kumpata Rais Magufuli ambaye na yeye katika kipindi chake alikuwa na maono yake na alililetea taifa maendeleo ambayo kwa sehemu Rais Samia ameendeleza alipoishia mtangulizi wake.

Hii ya kuamini katika watanzania zaidi ya mil 60 hakuna wa kuwa Rais mpaka ifikie hatua ya kubadili katiba ni dhahiri tunavunja na kuharibu values za taifa. Waliofikiria kipindi cha miaka 10 kinatosha hawakuwa wajinga na hasa ukizingatia kizazi na mabadiliko yaliyopo.

Tumuunge mkono na tumuache Rais Samia afanye kazi yake ya Urais kwa kipindi chake atakachojaaliwa kuwepo madarakani kwa mujibu wa taratibu na isiwe vinginevyo.
 
Hivi unanitafuta nini we mjinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…