Katiba Mpya inakuja kutusaidia nini kama tumeuza madini, gesi, mbuga, visiwa na bandari?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?

Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
 
Hiyo katiba mpya iwapo itaratibiwa na wao wenyewe, haitakuwa na jipya. Itakuwa ni sawa tu na kuweka mvinyo mpya, kwenye chupa ya zamani.
 
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?

Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
Mbona wanauza vya Tanganyika tu huko kwao hawana cha kuuza ?
 
Sasa kama wazawa hawawezi kuvisimamia... nini kifanyike..???
 
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?

Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
Katiba mpya itaondoa uzamini wa rais kwenye maliasiri zetu ili umiliki ulidishwe kwa wananchi wenyewe pia nakufumua mikataba upya nakuifunga kwa masirahi ya taifa sio ya mtu binafsi
 
Katiba mpya ni ulaji wa wanasiasa , hii nch haitakiwi kuwa state moja ndo tatizo halisi
 
Umetumia nguvu nyingi kuandika ujinga ndio maana inakua ngumu watu kuchangia
 
WACHA IJE kwa ajili ya vizazi vijavyooo sio kwa ajili yetu WAJINGA SISI.
 
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?

Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.

Kwani vya kuuza vimeisha? Wewe mwenyewe bado hujauzwa. Hutaki katiba izuie mauzo yako, au hata ukiuzwa, malipo yawe stahiki?
 
heri visimamiwe na wanaojitambua tu, sisi muda wa kuisimamia nchi yetu bado hatujafikia maana viongozi wenyewe tunaowaamini wanaiba adi viti vya ofisin wanahamishia nyumban
 
Katiba mpya, watawala wale wale, mambo Yale Yale 🚶🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom