Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mbona wanauza vya Tanganyika tu huko kwao hawana cha kuuza ?Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
Embu usipost hii kitu basi pumzkaSoC03 - Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...www.jamiiforums.com
UnajiharibiaSoC03 - Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...www.jamiiforums.com
Kwngu siyo ushindani ni knowledge sharingUnajiharibia
Hutashinda kwa njia hii!
Katiba moya inahusu CDM? Mbowe ana malisha yake, sasa kaaa hapo na life lako la kuunga uunga ukizania katiba inamuhusu mbowe au CDMSwali kuntu!
Chadema watajibu
Katiba mpya itaondoa uzamini wa rais kwenye maliasiri zetu ili umiliki ulidishwe kwa wananchi wenyewe pia nakufumua mikataba upya nakuifunga kwa masirahi ya taifa sio ya mtu binafsiTumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
Umetumia nguvu nyingi kuandika ujinga ndio maana inakua ngumu watu kuchangiaSoC03 - Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...www.jamiiforums.com
Sawa ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธKwngu siyo ushindani ni knowledge sharing
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
Hakika mkuu, ujinga uendeleeUmetumia nguvu nyingi kuandika ujinga ndio maana inakua ngumu watu kuchangia