Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu katiba inayopendekezwa. Kila mtu anasema lake lakini hatuwezi kukataa kuwa Katiba Inayopendekezwa inawajali wazee wanaobisha ni wabishi wa asili.
Kwa vipi inawajali, weka vifungu sio unaongea tu! And do not read those vifungu in isolation. Approach with a holistic outlook!
jamani kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu katiba inayopendekezwa. Kila mtu anasema lake lakini hatuwezi kukataa kuwa Katiba Inayopendekezwa inawajali wazee wanaobisha ni wabishi wa asili.
Umeliona hilo tu boya kweli wewe na wewe ndio bonge la mshamba.
swissme
umeliona hilo tu boya kweli wewe na wewe ndio bonge la mshamba.
Swissme
Wewe umejijua kuwa ni mshamba kushobokea ushuzi usiokuhusu na kuwalaghai watanzania na katiba yako ya uwagent wa AlbinoNasikitika kuwa unayoyaongea ndiyo tabia yako. Hoja yako ulihitaji upewe uthibitisho, umepewa unaleta matusi. Tukueleweje? Anyway, Sikulaumu umejidhihirisha wazi kuwa hayo ndiyo malezi ulivyolelewa. Huo ni umasikini wa mawazo, mwazo mgando, kukengeuka na kukubuhu kwa tabia za udomo kaya. JF ni eneo la watu kujadiliana siyo kutoa lugha za kubabaisha na matusi. Ukiona mambo ni mazito kwako na huwezi kuhimili mjadala, kapumzike! unaweza kuwakarahisha wasiyopenda tabia kama zako. Uwe muungwana penda nchi yako, Kubwa zaidi soma Katiba Inayopendekezwa.
Yeah man jamaa hoja yake kaishatukana Watanzania kuwa ni washamba yeye kaona hilo tu kwa wazee.hakuna hoja hapo matapishi tu.swissme we utakuwa mvuta bangi ama umelewa mchana kweupeee, punguza jazba, tatizo unaparamia ovyo pombe mchana mchana, soma kitu ukielewe na jibu hoja iliyowekwa sio blaa blaa zako humu ndani.
Ndugu CHUAKACHARA, Nimekubaliana na mawazo yako ya kukupa vifungu vinavyohusiana na wazee. Yapo mambo mengi yaliyoainishwa katika Katiba hii Inayopendekezwa kuhusu wazee nchini. Mambo hayo yamebainishwa katika (Ibara ya 58) ambayo inayowatambua kuwa Wazee ni hazina ya taifa letu. Katiba Inayopendekezwa inatambua umuhimu huu wa wazee katika jamii.
Ndani ya Katiba Inayopendekezwa wazee wanapewa fursa ya kushiriki katika shughuli za kimaendeleo na kijamii, kupata huduma mbalimbali na kulindwa dhidi ya vitendo vya ukatili. Kupitia Katiba Inayopendekezwa kutawekwa miundombinu na mazingira bora yatakayowawezesha kwenda wanakotaka na kutumia vyombo vya usafiri wa umma kwa gharama nafuu.
Mwasi, these provisions in the katika pendekezwa, the way it stands now are political statements. Kama wanasema wazee wamelindwa this way and that way, at the same time wanasema you can not contest it in a court of law, is non sense, ndiyo maana nimesema you need to read this katiba pendekezwa in a holistic approach and not in isolation. Nimependa argument yako! Inaelekea unajali wazee
Umeliona hilo tu boya kweli wewe na wewe ndio bonge la mshamba.
swissme
mleta mada ni boya. inaonekana kwa wk mbili mmekuwa mnaleta uongo kuwa wazee wamewajari.huzi mmoja humu niliweka no ya bibi yuko kernye kamati ya kitaifa kuhusu mafao na jinsi ya kuwajali wazee. ata wazee waliopendekezwa kwenda bunge la katiba hakuna ata mmoja alichaguliwa. kwanini tusikuite boya?
Habari zako zote huwa ni za kutunga na bila ushaidi.unalopoka tu lazima nikupe za kichwa.Katika hali ya kawaida, huwezi kutoa usichonacho. wewe swissme nimekubali huna hoja tumia akili katika kufikiri usitumie matope. Maneno hayo yoote! hoja yake nini? Jibu hoja au toa hoja yenye kujenga na siyo kuonesha ujinga wako mbele ya wasomaji wa JF. Unaweza kufikiri wanakufagilia kumbe unaanika ujinga tu. Tumia ngalau punje tu ja busara tutakuelewa vizuri zaidi kuliko matusi yako. Anyway hivyo ndivyo ulivyolelewa labda na ndiyo makuzi yako yalivyokuwa. Katiba ya nchi yetu ni ya muhimu zaidi kuliko lugha chafu, pata wasaa, Isome sasa.
habari zako zote huwa ni za kutunga na bila ushaidi.unalopoka tu lazima nikupe za kichwa.
Swissme
Habari zako zote huwa ni za kutunga na bila ushaidi.unalopoka tu lazima nikupe za kichwa.
swissme
Lakini hasilazimishe Watanzania na kuwaita washamba je na wewe nawe umeona hilo tu katika katiba.hana hata kifungu.je hajaona mapungufu katika katiba?Ukiambiwa, fanya utafiti, kama Tanzania tusingekuwa na wazee hatukuwa na haja ya kuingiza mahitaji ya wazee kwenye Katiba Inayopendekezwa. Lakini kwa sababu wapo, ni vema watambuliwe kisheria. Msomaji wa JF chuja na achana na swissme anayetishia kuwapa kama alivyosema "nikupe za kichwa". JF hazipo hizo akajiunge na masumbwi nafasi ipo wazi ni yeye kwenda tu, watampa nafsi kama wataona anafaa. Hapa JF awaachie wenye kusoma na kutoa hoja na kuelimisha jamii na sio kuonesha ubabe usio na msingi wowote.