katiba mpya inawajali wazee. Katika hili tukubaliane tuache ubishi wa kishamba!

katiba mpya inawajali wazee. Katika hili tukubaliane tuache ubishi wa kishamba!

labda imewajali wazee wa ccm tu.

wewe acha uwongo bhana, hata wazee wako itawajali, acha kupotosha umma, usiwe bendera fuata upepo!! Kama huna cha kusema we kuwa mtazamaji kuliko kuongea kitu usichokijua. Ni ushauri tu huo kwako.
 
maneno ya kushindwa hayo ndugu, wewe ndo utalaaniwa kwani biblia inasema usihukumu ucje ukahukumiwa, sasa huoni unakosea hapo? Kama umeshindwa kujibu hoja za wenzako bora usignout utoke humu ndani kwani hapakufai kaka. Kuwa mwelewa.

We umetoka wapi mpuuzi!
 
Back
Top Bottom