SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
- Thread starter
- #41
Kupitia katiba yao una habari kuna watu wamefungwa , kufilisiwa na wengine kutaifishiwa mali zao baada ya kubainikika ni za wizi?
Pia katiba yao imeweza kuwaondosha watu kutokana na matumizi mabovu ya ofisi.
Nakuwekea hapa mifano michache.
View: https://youtu.be/hGb0chJd1fs?is=8NGyKNm4OL2_tnn_
View: https://youtu.be/Cz1QTyXCCEU?is=fYDaGtKWBrcsJRyK
View: https://youtu.be/0OitaGUs4Ho?is=3UjUuFIIdzbX33Gm
Inaonekana we ni mgeni kwenye Siasa .. hizo picha unazotuma hapo zina behind the scene nyingi sana ambazo we hujui..
We unafikiri kwanini kuna magavana wenzao wengi wamepiga hela na walimaliza TERM zao vizuri? Fuatilia Kesi za Baraza lao la Senate uone
Huko ni kama hapa mmeambiwa muwazomee waliopiga Bil. 180/- lakini mwalimu mkuu kule Simanjiro anaenda jela kwa ajili ya Mil. 20.
Ndo ujue hata hapa kwetu sheria zipo ila tatizo ni mtuhumiwa..