FOR 2015
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 538
- 221
Wana JF - Hii imekaa vipi Jamani....
Hili hapa ni kosa alilofanya, kanuni aliyovunja na adhabu yake -
Kosa -Kwa kujibu hotuba ya Jaji Warioba badala ya Kuzindua Bunge kama ratiba ilivykuwa inasema, ameingilia kazi za Tume
Kanuni iliyovunjwa: amevunja Sheria ya Mabadiliko ya Katiba (Sura ya 83 toleo la mwaka 2012), inayosema:21.-(b) atakayejifanya kuwa mjumbe wa Tume au Sekretarieti; au (c) atakayeendesha programu ya elimu juu ya mabadiliko ya katiba kinyume na masharti ya sheria hii, atakuwa ametenda kosa.
Adhabu
3) atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa kinyume na Sheria hii, atawajibika kulipa faini isiyopungua Sh2,000,000 (milioni mbili) na isiyozidi Sh5,000,000 (milioni tano) au kifungo kwa muda usiopungua mwaka mmoja na usiozidi miaka mitatu au adhabu zote mbili.
Juu ya Yote: Kikwete sio Mjumbe wa Bunge la Katiba, yeye ni Sehemu tu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano