Katiba mpya ---kikwete aweza kushtakiwa

Katiba mpya ---kikwete aweza kushtakiwa

FOR 2015

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
538
Reaction score
221
Wana JF - Hii imekaa vipi Jamani....

Hili hapa ni kosa alilofanya, kanuni aliyovunja na adhabu yake -

Kosa -Kwa kujibu hotuba ya Jaji Warioba badala ya Kuzindua Bunge kama ratiba ilivykuwa inasema, ameingilia kazi za Tume

Kanuni iliyovunjwa: amevunja Sheria ya Mabadiliko ya Katiba (Sura ya 83 toleo la mwaka 2012), inayosema:“21.-(b) atakayejifanya kuwa mjumbe wa Tume au Sekretarieti; au (c) atakayeendesha programu ya elimu juu ya mabadiliko ya katiba kinyume na masharti ya sheria hii, atakuwa ametenda kosa.

Adhabu
frown.png
3) atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa kinyume na Sheria hii, atawajibika kulipa faini isiyopungua Sh2,000,000 (milioni mbili) na isiyozidi Sh5,000,000 (milioni tano) au kifungo kwa muda usiopungua mwaka mmoja na usiozidi miaka mitatu au adhabu zote mbili.

Juu ya Yote: Kikwete sio Mjumbe wa Bunge la Katiba, yeye ni Sehemu tu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano
 
1.The law is not effective anymore as the moment Judge Warioba pressented the draft to the CA-Tume imemaliza kazi yake hence wanafungasha virago
2. Presidential Immunity
 
Tanzania rais yuko juu ya sheria hata akimuua mkewe au mwanae leo hawezi kushitakiwa ndio maana aliingilia kazi za bunge la katiba
 
Tundu Lissu na wanasheria wengine hebu tufafanulieni jamani tunataka kwenda mahakamni kumshitaki Kikwete kwa:

1. Kwa kuvunja kanuni hivyo kuingilia kazi ya Tume ya Mabadililiko ya Katiba

2. Kuruhusu Zanzibar kuwa nchi ndani ya nchi ya JMT

Wana JF - Hii imekaa vipi Jamani....

Hili hapa ni kosa alilofanya, kanuni aliyovunja na adhabu yake -

Kosa -Kwa kujibu hotuba ya Jaji Warioba badala ya Kuzindua Bunge kama ratiba ilivykuwa inasema, ameingilia kazi za Tume

Kanuni iliyovunjwa: amevunja Sheria ya Mabadiliko ya Katiba (Sura ya 83 toleo la mwaka 2012), inayosema:"21.-(b) atakayejifanya kuwa mjumbe wa Tume au Sekretarieti; au (c) atakayeendesha programu ya elimu juu ya mabadiliko ya katiba kinyume na masharti ya sheria hii, atakuwa ametenda kosa.

Adhabu
frown.png
3) atakayetiwa hatiani kwa kutenda kosa kinyume na Sheria hii, atawajibika kulipa faini isiyopungua Sh2,000,000 (milioni mbili) na isiyozidi Sh5,000,000 (milioni tano) au kifungo kwa muda usiopungua mwaka mmoja na usiozidi miaka mitatu au adhabu zote mbili.

Juu ya Yote: Kikwete sio Mjumbe wa Bunge la Katiba, yeye ni Sehemu tu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano
 
Sasa kama sheria imezuia kudatenda kosa alilofanya president bac faini ichukue nafasi yake akishndwa ashitakiwe asiogopwe sababu ya cheo je? ningelikuwa mimi sasa ningelikuwa wapi?
 
Sasa kama sheria imezuia kutenda kosa alilofanya president bac faini ichukue nafasi yake akishndwa ashitakiwe asiogopwe sababu ya cheo je? ningelikuwa mimi sasa ningelikuwa wapi?
 
hiki kipengele kiliwekwa makusudi kuwadhibiti kina lissu,bahati mbaya kategwa swala kanaswa chatu!
 
Magereza zipo kwa ajili yao wote labda wafe tutawafunga mmoja mmoja kwa ujangili wao haswa mkapa na jk na vibaraka wao
 
Back
Top Bottom