Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
HUYU katumwa kupima joto, mwanzo ndiyo yeye alikubaliana na mchakato iweje leo apatwe na hofu.Mimi namuamini warioba kwani katuhakikishia kuwa pamoja na muda kutotosha yeye ameita hiyo na changamoto na changamoto zinakubalika ili kitu kisiwe 100% lakini sisi tunahitaji katiba nzuri kwa asilimia 75% tu inatosha kuita kitu kimefanikiwa.Watawala wameanza kuingiwa hofu.Kama dr.slaa hajalalamika nina uhakika mambo yanaenda sawia maana ndiye measuement yetu watanzania.endelea jaji warioba acha watawala waweweseke na KIMAMBA WAOKwenye red: Naamini siko mwenyewe kusema huyo bwana Deus ni aina ya Shibuda! Hata ukimtazama usoni wakati anaongea ni wazi yuko kwenye 'payroll'. Hapo ametumwa kujaribisha idea ya katika kutokamilika by 2015 ili wakubwa wajue response ya wananchi!
Itoshe tu nikisema simuamini hata kidogo huyo bwana!