Katiba mpya kupatikana baada ya 2015

Katiba mpya kupatikana baada ya 2015

Nikisikia mtu analalamika ati wamechezewa akili.... nani ambaye alikuwa hajui hili? na wamekubali kushiriki mchakato (wameupa uhalali) wawe tayari kuishi na matokeo yake... kwani Sheria waliyoipitisha Bungeni ilisema katiba mpya itakuwepo kabla ya 2015?
 
Kwa vyovyote vile serikali haina nia ya dhati ya kutengeneza katiba mpya kabla ya 2015. Mikakati imeshaandaliwa kuichelewesha makusudi. Inaweza kukamilika tu kama shinikizo kubwa litatoka kwa wananchi kupitia vyama vya upinzani.

Ila navyoona wananchi wako so weak, wanangojea serikali iwatengee chakula kwenye sahani ya dhahabu!
 
Kwenye red: Naamini siko mwenyewe kusema huyo bwana Deus ni aina ya Shibuda! Hata ukimtazama usoni wakati anaongea ni wazi yuko kwenye 'payroll'. Hapo ametumwa kujaribisha idea ya katika kutokamilika by 2015 ili wakubwa wajue response ya wananchi!

Itoshe tu nikisema simuamini hata kidogo huyo bwana!
HUYU katumwa kupima joto, mwanzo ndiyo yeye alikubaliana na mchakato iweje leo apatwe na hofu.Mimi namuamini warioba kwani katuhakikishia kuwa pamoja na muda kutotosha yeye ameita hiyo na changamoto na changamoto zinakubalika ili kitu kisiwe 100% lakini sisi tunahitaji katiba nzuri kwa asilimia 75% tu inatosha kuita kitu kimefanikiwa.Watawala wameanza kuingiwa hofu.Kama dr.slaa hajalalamika nina uhakika mambo yanaenda sawia maana ndiye measuement yetu watanzania.endelea jaji warioba acha watawala waweweseke na KIMAMBA WAO
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mimi nadhani kipengere muhimu ni tume huru ya uchaguzi ili kuwa na fair election tukifanya uchaguzi huru tukapata serikali sikivu zoezi la kurudi katiba ni hiari ya watanzania kwani wao katiba ni yao hawataogopa gharama.sawa na mkulima huwaga analima lakini mvua zisiponyesha havuni hata kilo moja ya mazoa lakini hiyo si tiketi ya kuacha kulima wakani, ni lazima alime bila kujali gharama.na sisi tuarudia kuandika katiba mpya licha ya gharama kubwa za zoezi lenyewe ili mradi tuweke utawala uliokubalika na wananchi.
 
Back
Top Bottom