Kwa hiyo Katiba iliyopo imeruhusu hayo uliyotaja🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwananchi wa kawaida anayejielewa, hatutaki kuendelea kubambikiziwa kesi, hataki kudhulumiwa, hataki kubebeshwa mizigo ya kodi ya wengine, anataka mihimili ya utawala iliyo na uhuru kamili, anataka usawa, anataka uwajibikaji, anataka mawazo yake kusikilizwa nk.
Asiyetaka hayo ni uelewa mdogo au kuwa na maslahi binafsi.
Katiba iliyopo ni kikwazo kwa hayo yote. Wananchi wote wanaojitambua wanahitaji katiba mpya tena kwa hali ya dharura sana.
Kuna sehemu hamuelewi... Tatizo letu Ni maadili, mila na desturi yaani malezi kuliko Katiba.