Katiba Mpya: Kwanini CCM hawataridhia kirahisi

Kwa hiyo Katiba iliyopo imeruhusu hayo uliyotaja🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna sehemu hamuelewi... Tatizo letu Ni maadili, mila na desturi yaani malezi kuliko Katiba.
 
Huyo mwananchi wa chunya atapata vipi hayo maji ikiwa aliempa mamlaka ya kulinda hela zake anazitumia vibaya kwa kununua mandege ambayo hayatumiki na mwisho wa siku hana cha kumfanya.
 
Inapoteza muda wa kufanya masuala yenye umuhimu zaidi kwa sasa. Unapopewa rasilimali za madini, mito na maziwa na bahari yenye kilomita 1400 halafu ukapoteza muda kwenye siasa hata huyo Mungu anabakia kukushangaa.
Crap 🚮
 
Kwa katiba hii hata we ukiwa chama tawala Sio rahisi kuibadili
 
Huyo mwananchi wa chunya atapata vipi hayo maji ikiwa aliempa mamlaka ya kulinda hela zake anazitumia vibaya kwa kununua mandege ambayo hayatumiki na mwisho wa siku hana cha kumfanya.
Ndege zinampelekea China maparachichi yake na zinaleta watalii wanaoongeza pato la taifa linalomrudia kwa njia mbalimbali.

Mauritius kwa kutegemea utalii wa fukwe tu wanaingiza dola bilioni kumi kwa mwaka, watu wote hao wanaletwa na ndege.
 
Hizo ni ndoto we bwanamDogo kama miaka yote haukufaidika itakuwa leo?
Nini serekali ime kiplan na bunge limeridhia ili hayo yatekelezeke? Zaidi ya kuongeza kodi ya mafuta na simu?
 
V
Vyote ulivyovitaja havitakuwa na tija Kwa wananchi hao Kama hakutakuwepo na Sheria na taratibu nzuri za kikatiba ambapo ya Sasa haijitoshelezi!
Think, miaka 50+ ya ccm na katiba take ya 1977 still mwananchi anajadili kupata maji, umeme na huduma za kijamii Kwa uhakika? Mlikuwa mnaijenga Dunia Kwa kipindi chote hicho au ni hii hii Tanganyika?
Kama wewe huna uhitaji wa katiba mpya nyamaza kwani Kikwete alivyouanzisha ule mchakato wa katiba mpya alikuwa anataka iwe ya nchi ipi? Ccm mnajiaibisha wenyewe Kwa kupinga vitu mlivyovianzisha wenyewe!
 
Ndege zinampelekea China maparachichi yake na zinaleta watalii wanaoongeza pato la taifa linalomrudia kwa njia mbalimbali.

Mauritius kwa kutegemea utalii wa fukwe tu wanaingiza dola bilioni kumi kwa mwaka, watu wote hao wanaletwa na ndege.
Wachina hawajawahi kuwa watalii wazuri. hawna culture ya savings na kwenda ng'ambo kutalii
 
Subiri mpaka 2025 uje na haya maoni yako. Hivi sasa utaishia kutukana kwa hasira.
 
Mama anaendelea kuupiga mwingi na ndio kasema sasa tunajenga uchumi.

Hata sisi tunajenga uchumi. Yetu ya moyoni mtakuwa mmeshamfikishia hata kama ni kwa design hii:

Wewe hapo ni huyo mwenye kiduku?

Tunajua mmewekeza sana humo kwenye red:

".... hata kama ni la kijinga." ---- ninakazia.

Hiiiiii bagosha!
 
Nimejaaliwa staha ya kutosha Huwa situkani Bali naelimisha watu wenye mawazo Duni Kama wewe! Hiyo 2025 utashangaa na kutukana baada ya kuona mnanyukwa kipigo Cha mbwa Koko kwenye box la kura zilizo halali!
Subiri mpaka 2025 uje na haya maoni yako. Hivi sasa utaishia kutukana kwa hasira.
 
Ndege zinampelekea China maparachichi yake na zinaleta watalii wanaoongeza pato la taifa linalomrudia kwa njia mbalimbali.

Mauritius kwa kutegemea utalii wa fukwe tu wanaingiza dola bilioni kumi kwa mwaka, watu wote hao wanaletwa na ndege.
Toka lini ndege za abiria zikabeba maparachichi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…