Katiba Mpya: Kwanini CCM hawataridhia kirahisi

Nimejaaliwa staha ya kutosha Huwa situkani Bali naelimisha watu wenye mawazo Duni Kama wewe! Hiyo 2025 utashangaa na kutukana baada ya kuona mnanyukwa kipigo Cha mbwa Koko kwenye box la kura zilizo halali!
Nimekuelewa mwanaharakati.
 
Kwa hiyo Katiba iliyopo imeruhusu hayo uliyotaja🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kuna sehemu hamuelewi... Tatizo letu Ni maadili, mila na desturi yaani malezi kuliko Katiba.

Kwamba ndani ya mustakala wa sasa ambao ni kwa mujibu wa sheria wewe hujui kuwa:

1. Wananchi wamekuwa wakibambikiziwa kesi?
2. Wananchi wamekuwa wakidhulumiwa vikiwemo mali na hata maisha?
3. Wananchi wamekuwa wakibebeshwa mizigo ya kodi kukiwepo vigogo wasiolipa kodi kwa mujibu wa sheria?
4. Kuwa kwa hapa tulipo uhuru wa mihimili haupo?
5. Kuwa kuna utitiri wa vigogo wasio na ridhaa ya wananchi kama viongozi wao?
6. Nk nk

Yakiwamo yote niliyoyaandika?

Kama hujui unauliza jombi. Hawaoni wenzako wamepita kimya kimya?

Kwamba mwelewa ni wewe? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!?

Kweli Nyani haoni ku*dule.
 
Jipe Muda kutafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…