makinikia 101
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 491
- 876
Bila katiba mpya kwa mtu mweusi sio rahisi kuheshimu sheria za nchiKumekua na maoni mengi sana kuhusu suala la katiba mpya Tanzania. Suala hili lilipigiwa sana kelele na wananchi pamoja na wanasiasa hadi pale JK alipoanzisha mchakato huo ambao pia uliishia njiani, oopss.
Nionavyo mimi, Tanzania hatuna tatizo la katiba mpya, tunalo hitaji la msingi la kupata viongozi wanaoheshimu na kufuata viapo vyao vya kuilinda katiba. Kama hii tu iliyopo haifuatwi na viongozi wetu (km kufungia mikutano ya kisiasa, mahakama bunge na serikali kuwa mihimili tofauti, nk), hata ikija mpya kiasi gani na tukakosa viongozi wenye kuiheshimu, bado tatizo litakua palepale
😀😀 Mkuu umenichekesha sanaKatiba hii hii ni nzuri tu sema watu badala ya kuisoma wanafungia vitumbua.
Uko sahihi sana kaka mkubwaKuandika katiba ni jambo moja na kuitumia ni jambo jingine.
Tatizo siyo katiba, watu hawaelewi matumizi ya katiba na umuhimu wake.
Lkn si umeona jinsi katiba imefanya kazi nzuri, kama isingekuwa katiba nzuri na kiongoz mwenye kufuata katiba leo kenyatta angekuwa ameshaapishwa, umeelewa sasa mkuu!!!?Katiba mpya sio suluhisho,Kenya na katiba yao watu wameiba kura
Hata tukipewa hiyo katiba ya kenya ambayo tunaamini iko super kuliko yakwetu, bado kwa nature ya mfumo na viongozi tulionao Tanzania iyo katiba itakanyagwa tu. Take my wordsBila katiba mpya kwa mtu mweusi sio rahisi kuheshimu sheria za nchi
Uzuri wa ile katiba inaruhusu kuhoji matokeo mahakamni hata kama tume ishamtangaza mshindiLkn si umeona jinsi katiba imefanya kazi nzuri, kama isingekuwa katiba nzuri na kiongoz mwenye kufuata katiba leo kenyatta angekuwa ameshaapishwa, umeelewa sasa mkuu!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio katiba ambayo na sisi wa tz tunatakiwa kuipigania, maana mwenzio akinyolewa zako Tia maji [emoji23][emoji23]Uzuri wa ile katiba inaruhusu kuhoji matokeo mahakamni hata kama tume ishamtangaza mshindi
Kama ingekua suluhisho kenyatta asingeiba.Hata sie katiba yetu pendekezwa ina kipengele cha kwenda mahakamani lakini chadema hawaitaki,hakuna jinsi tuendelee tu na hii ya sasaLkn si umeona jinsi katiba imefanya kazi nzuri, kama isingekuwa katiba nzuri na kiongoz mwenye kufuata katiba leo kenyatta angekuwa ameshaapishwa, umeelewa sasa mkuu!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwizi akiiba hatua ya kwanza ni ipi?Kama ingekua suluhisho kenyatta asingeiba.Hata sie katiba yetu pendekezwa ina kipengele cha kwenda mahakamani lakini chadema hawaitaki,hakuna jinsi tuendelee tu na hii ya sasa
Nikuulize wewe uliesema Lowassa mwizi
Lowassa sio mwizi maana mwizi hupelekwa mahakamani, lini lowassa kapelekwa mahakamani??Nikuulize wewe uliesema Lowassa mwizi
Umetoka Kenya mpaka kwa lowassaNikuulize wewe uliesema Lowassa mwizi
Ni Uhuru pekee anaheshimu sheria za nchi yake.Bila katiba mpya kwa mtu mweusi sio rahisi kuheshimu sheria za nchi