Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ndio si unajua !! Wanasiasa ndio haswaa!! Wenye mradi wao. Waite wakulima ikulu ,kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Unajua KwaninI hii tu iliyopo imefanya maajabu nchi imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
Waite wavuvi na machinga ikulu waulize mnataka nini, kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Waite mama lishe na wajenzi pamoja hawatazungumzia Katiba mpya.
Wajua nini hapo sio mradi wao. Katiba mpya haitamletea mtu ugali Wala kumlipia mtu pango la nyumba au karo ya mtoto shule.
Sasa Hawa wanajipa majina ya sijui profesa, Mzee wa anga au mama Tanzania pamoja na yule jamaa wa mwandiga waalike Ikulu watatoka macho mekundu Kwa sababu tu wanataka Katiba mpya , mtu chama chake tu hawezi kung'atuka apishe wengine afu umkabidhi nchi utegemee atatoka huyooo, Katiba ije lakini sio Kwa ajili ya kuwafurahisha wanasiasa.
Sijajua Kwanini ccm haipewi heshima yake, wanademokrasia kubwa sana ya kubadilishana uongozi bila vurugu Wala vitisho.
Ikifika zamu ya Hawa wanaotaka katiba mpya ya nchi kufanya demokrasia kwenye vyama vyao tu. Utasikia yuleee ni msalitiiii mara wanatimuana mtuache na ccm yetu na Katiba yetu ileile mpaka mtakapo onyesha mmekuwa ndani ya vyama vyenu.