Hilo ni swala sio kMengine siyajui , lakini uliposema Katiba mpya ni sasa nimekuunga mkono
Hakuna misingi inayowalazimisha viongozi kutii sheria. Nayo ni katiba. Kama una kataa katoba bora na wakati huo huo unataka utawala bora basi unajidanganya.Katiba si suruhisho la matatizo nchini, suruhisho ni viongozi kufuata sheria na kuitii katiba iliyopo, kama hii wameshindwa tii hata hiyo mnayopigia kelele hawawez kutii, kwanza wengi mnaodai katiba wenyewe hamjui kwann mnadai, tukiwauliza hii ya sasa inamapungufu gan hamjui zaidi ya kufuata mkumbo wa hao wachumia tumbo wenu wanaotamani kuingia ikulu....
Kutii sheria sio swala la katiba ni utawala bora ni swala la mtu, na ndio sababu kuna jela na mahakama hata kwa hizo nchi zinazobadili katiba kila sikuHakuna misingi inayowalazimisha viongozi kutii sheria. Nayo ni katiba. Kama una kataa katoba bora na wakati huo huo unataka utawala bora basi unajidanganya.
Mahakama haiko huru uhuru wake unaanzia kwenye katiba.
IGP hayuko huru. Uhuru wake unaanzia kwenye katiba. Bunge haliko Huru Uhuru wake unaanzia kwenye katiba. Sasa hao viongozi unaosema watafata sheria na katiba iliyopo wataanzia wapi?