assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Mccm NI MABWEGE TU NA MASANDA YAO YA KIJANI! PATACHIMBIKA TUKIIKOSA TANGANYIKA YETUKamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza
serikali tatu ya kazi gani?serikali 3 itavunja muungano..muungano wetu ni unique hapa duniani,lazima tuulinde
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza
Mkuu ulitegemea CCM wakubali serikali tatu? Kukubali serikali tatu ni kukubali kuuvunja muungano. Ni afadhali kusema tunauvunja muungano moja kwa moja kuliko kupitia njia ya ndeeefu ya serikali tatu kisha kila mtu na yake. Sera ya CCM ni serikali mbili hivyo si rahisi kukubali serikali tatu.
Hali halisi ni kwamba muunganu uko mahututi hata CCM iking'ang'ania hizo serikali mbili lakini kero zitazidi na mwisho utafika tu. Hapa ni serikali moja na Zanzibar kuwa kama Mwanza ama Lindi (Mkoa) au kila mtu kivyake. Kwisha