Katiba mpya shakani: CCM wabariki serikali mbili

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza
 
Mccm NI MABWEGE TU NA MASANDA YAO YA KIJANI! PATACHIMBIKA TUKIIKOSA TANGANYIKA YETU
 
serikali tatu ya kazi gani?serikali 3 itavunja muungano..muungano wetu ni unique hapa duniani,lazima tuulinde
 
Wanao uwezo wa kuikataa kwa kutumia wingi wao ndani ya mjengo, lakini na sisi tunao uwezo wa kuwakataa wao na matakwa yao kwa kutumia wingi wetu kwenye sanduku la kupigia KURA 2015.
 
CCM imefikia mwisho Peoples power is greater than people in power. Waambie tu wafanye fitina zao lakini Katiba itapatikana.
 
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza

Mkuu ulitegemea CCM wakubali serikali tatu? Kukubali serikali tatu ni kukubali kuuvunja muungano. Ni afadhali kusema tunauvunja muungano moja kwa moja kuliko kupitia njia ya ndeeefu ya serikali tatu kisha kila mtu na yake. Sera ya CCM ni serikali mbili hivyo si rahisi kukubali serikali tatu.

Hali halisi ni kwamba muunganu uko mahututi hata CCM iking'ang'ania hizo serikali mbili lakini kero zitazidi na mwisho utafika tu. Hapa ni serikali moja na Zanzibar kuwa kama Mwanza ama Lindi (Mkoa) au kila mtu kivyake. Kwisha
 
kama ccm wamefika hatua ya kuua raiya kwa risasi na mabomu vivyo hivyo hawashindwi kufanya lolote kwa manufaa yao binafsi.
Swala la serikali 3 linaenda kuisambaratisha ccm vipande vipande very soon.
 
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza

bunge la katiba si mwisho. wenye uamuzi wa mwisho ni wananchi kuipigia kura. Kama nadharia ya serikali tatu ikiuzwa na ikaeleweka kwa wapiga wananchi wapiga kura. Na tukalinda kura zetu za maoni, tutaishinda akili ya ccm.
 
Mkuu ulitegemea CCM wakubali serikali tatu? Kukubali serikali tatu ni kukubali kuuvunja muungano. Ni afadhali kusema tunauvunja muungano moja kwa moja kuliko kupitia njia ya ndeeefu ya serikali tatu kisha kila mtu na yake. Sera ya CCM ni serikali mbili hivyo si rahisi kukubali serikali tatu.

Hali halisi ni kwamba muunganu uko mahututi hata CCM iking'ang'ania hizo serikali mbili lakini kero zitazidi na mwisho utafika tu. Hapa ni serikali moja na Zanzibar kuwa kama Mwanza ama Lindi (Mkoa) au kila mtu kivyake. Kwisha

Jiulize kwanini nyerere imemshinda kuimeza zanzibr?ukipata jawabu njoo tena.
 
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza

Kwani ccm wana mamlaka gani na katiba mpya zaidi ya kutoa maoni kama yanavyotoa makundi mengine?
 
CCM bara wanajua ile janja yao ya kuibia kura zanzibar itatoweka,katiba mpya ni serikali tatu au muungano ufe,watanganyika hatuna faida na muungano
 
Kamati kuu imesema ccm haitaki muundo wa serikali tatu bali mbili hayo yamesemwa kwenye kikao kule dodoma hivyo katiba shakani kupita kwani ccm itakua na wabunge wengi katika bunge la katiba, vilevile wanaweza kupiga kura ya hapana kama jaji warioba hatawasilikiza

Ukisha muona mgonjwa wako anakataa dawa, ujue ndio ngoma ntolee!!
 
Taarifa za ndani ni kuwa hilo swala la serikali tatu Kikwete alishalibariki na wanekubaliana na Warioba kuwa haliwezi kutenguliwa. CCM wanapiga sarakasi tu huku wamefunga taulo. Likidondoka wanachutama wakati serikali ya Tanganyika inaundwa.
AG wao kashaagizwa aandae utaratibu wa kuanzisha mchakato wa katiba ya Tanganyika, sasa wakina Nape na Mzee wa Tembo wanasema kitu gani?
Its another silly season.
 
Back
Top Bottom