Katiba mpya sio Katiba ya CHADEMA au ya fulani ni Katiba ya Watanzania maskini

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.
 
Wale watu hawataelewa maana wanafaidika na ubovu huu na maskini wanaendelea kudidimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…