Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.