Binafsi kama mpenda maendeleo. Mimi ningekuwa Mama ningependekeza katiba ya warioba iongezewe vitu vichache tu. Tutengeneze Mtandao ambao raia watatoa maoni yao kwa kuna AI sasa hivi tunazichakata hizo taarifa within a few days(wazee wa data science na python wapo mtaani kibao). Then inapelekwa bungeni kupitiwa na kupitishwa.
Hakuna haja ya kutengeneza BUNGE LA KATIBA ili hela ziliwe na watu wachahe tu. Hela zingine zielimishe watu katiba ina nini kwa kuandaa apps, VIPINDI VYA TV kila usiku hata one hour.
Kwa muktadha huo itasaidia taifa kuokoa pesa nyingi sana. Next tunaweka maadhimio kila baada ya miaka 20 katiba ifanyiwe amendment.
Nawasilisha.