Wanaoyakwapua nao wanataka kazi iendelee. Msigishano uko hapo. Kupata katiba mpya yenye tuyatakayo hakuwezi kuwa Kwa lelemama.Tunahitaji katiba mpya haraka la sivyo matrilioni yataendelea kupotea kama ilivyooneshwa kwenye ripoti ya CAG.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoyakwapua nao wanataka kazi iendelee. Msigishano uko hapo. Kupata katiba mpya yenye tuyatakayo hakuwezi kuwa Kwa lelemama.Tunahitaji katiba mpya haraka la sivyo matrilioni yataendelea kupotea kama ilivyooneshwa kwenye ripoti ya CAG.
Hakuna katiba mpya hapo
Niliiona KATIBA mpya Tanzania kabla Yako. 2026 itakamilika mchakato.Tunza posts zako unapoendelea kusubiria dodo kwenye mnazi
Najua kinachoendelea,
Niliiona KATIBA mpya Tanzania kabla Yako. 2026 itakamilika mchakato.
Na ndicho kilichonileta JF Kwa mara ingine.
Tusubiri.
Nani anataka kupoteza kitumbua chake kirahisi hivyo
Nani anataka kupoteza kitumbua chake kirahisi hivyo
Unayemuwazia Hana term mbili ni Moja.
Kwa katiba iliyopo aliyepo kutoka madarakani labda aamue mwenyewe.Unayemuwazia Hana term mbili ni Moja.
Rudi tena kufikiri sahihi.
Nimekwambia Rudi nyuma Anza UPYA calculations.Kwa katiba iliyopo aliyepo kutoka madarakani labda aamue mwenyewe.
Wewe unamwona ana nia ya kuachia ngazi kwa hiari yake au kwa wito wa Mdude?
Nimekwambia Rudi nyuma Anza UPYA calculations.
Unadhani ni coincidence kikosi KAZI kuyeyuka?
Kuna mambo mengi ya kuboreshwa kwenye rasimu ya warioba. Ile ikipitishwa kama ilivyo, itatuletea migogoro mingine baada ya muda mfupi.Rasimu ya warioba ndio na hapana! Mfano huku bara Watz majority wamataka serikali moja kwa vilekila kitu wanagharamia wao!
Huwezi kuwa na watu milioni 2 wakaungana na watu milioni 60 ukasema ni Muungano kwanza iwe nchi moja! Yaani kisiwa cha Hawai'i kujiunga na US na US inagjatamia kila kitu ukasema ni Muungano!
Mikoa mingine ya bara ina hakijuu ya radlimalizao zao zinabyptumika! Fikiria tu Bu.nge yaani wabunge 80 visiwani wanawakilisha watu milioni 3 na wanalipwana bara wakati Dar ina watu mino 5.3 ina wabunge 10 na Dar huchangia 70 makusanyoTRA kwa taifa hili! Haiwezekani!
Yaani Tume ya Warioba ilishamaliza kazi. Ila tuna shida! Kuuza uta wa mtu ni sawa na ushoga tu.