Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo.

Walisema umoja ni nguvu.

Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote.

IMG_20220322_154719_988.jpg


Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana.

Shughuli hii inahitaji watu, tena waliodhamiria.

Tofauti ndogo ndogo ziwekwe kando.

Katiba mpya ni sasa.

Rejea:

Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?
 
Walijitokeza kina Ndugai leo hawajulikani walipo. Tuko kimya.

Kwanini hatuoni kudai katiba mpya ni haki yetu kama ilivyo kujua waliko kina Lijenje, Azory, Ben au hata Ndugai?

Kuna mipaka ya uzuzu inabidi tujikomboe vinginevyo ndiyo maana kina Mukandara hawajali.
 
Back
Top Bottom