Walijitokeza kina Ndugai leo hawajulikani walipo. Tuko kimya.
Kwanini hatuoni kudai katiba mpya ni haki yetu kama ilivyo kujua waliko kina Lijenje, Azory, Ben au hata Ndugai?
Kuna mipaka ya uzuzu inabidi tujikomboe vinginevyo ndiyo maana kina Mukandara hawajali.