Katiba mpya: Waislam watoa madai mazito Mwanza yawekwe kwenye katiba mpya


Muislam utamjua kwa kauli yake huna uislam wowote kama umelala endelea kulala wewe na kuona keki wanakula wenzio unabaki kuangalia hatukuja duniani kushindikizana watu wanatakiwa kuishi na kufaidi rasilimali walizojaaliwa na muumba. mitego ya makufari huijui hadi siku utakapo hamia katika maisha mengine mbali ya hapa ulipo. unadanganyika na starehe ndogo inayopita na wangapi wameondoka
 

Ndugu yangu @Ken.Rogers2012 Kama Quran inampa heshima Yesu sasa mbona hujamkosoa @Macos kwa kumtukana huyo anayeheshimiwa? huoni ni contradictions?
Kumbe unajua kuwa manabii walikataliwa??
Basi jua pia hata leo manabii kama mimi wanakataliwa. Mungu mpaka leo bado anazungumza na wanadamu na ni Mungu yule yule aliyewatuma manabii nyakati zile anasema na wanadamu hata leo kupitia wanadamu hao hao. Bahati mbaya Mungu unayemuamini labda yuko kimya tangu miaka 600 baada ya kristo. Na hapa ndipo shida ilipo....
Na ni furaha yangu kuu kwamba ni mmoja tu aliye hai. YESU KRISTO MASIHI WA MUNGU. Wengine woooote walitoweka na hili halina mjadala. Sasa basi mwamini aliye hai ili na wewe uwe hai! Hiyo nadhani ndio itakuwa akili nzuri kama unavyotaka tuitumie. Amini basi aliye hai.
Na hizi propaganda za kusema nchi za magharibi ndizo zimemleta Yesu wetu umezipata wapi kama sio kwa waarabu?? maana hata uislamu umetokea uarabuni sasa kwa sababu hiyo wataka kutuaminisha kwamba na nyinyi mmepotea kwa sababu bado na hii yenu ni foreign related religion?
Kwa habari za wazungu kuwa waislamu mie sioni tatizo. Kwa sababu Mungu halazimishi watu kumfuata bali anawapa uhuru wa kufanya wapendalo. Lakini uzoefu unaonyesha wazungu wengi walishakuwa waasi na sasa kila kitu wao umeza tu. Lakini je wawezaje kuamini nabii asiye hai na wakakataa kumuamini aliye hai?? hukumu itawasubiri wote ambao siri hii kubwa imefichwa kwao. Ole wao hao wanaokimbilia kwenu.
Asante sana.
 
Brain dead ideas. I'm proud of being a Christian believer.
 
wewe acha ujinga wako kumbuka kwamba wewe wenyewe dini yako haikutambui vilevile acha kukashifu waislamu kumbuka dini hii ni ya haki kwahiyo wewe unasema wakafie mbali wewe hujui kwamba sisi waislamu ni wa karim sana kuliko nyinyi wakristo kwanza mnatudhalilisha mitaani kwamba sisi ni wauwaji tulimuua nani kwenye familia yenu na kumbuka kwamba hiyo dini mnayoikataa siku ya mwisho ndo hiyo itawanusuru wengi waliyo ikubali kwanza wewe ni mkristo dini yenu ya ubabaishaji wachungaji na mapadri wanawadanganya ndugu zetu kwa kuhakikisha kasome biblia yako vizuri kafunue wakorinto (15:15-18) vilevile kasome yeremia(50:6) na kasome isaya (56:10) kumbuka mimi na wewe tumeletwa duniani kwa lengo moja la ibada lakini wewe unaleta mzaha sasa watu wanataka watimiziwe kero zao kwenye katiba wewe unasema wakafie mbali lakini nashangaa nyie wenyewe kuna mambo yanawakera kutokana na dini yenu hapohapo mnasema kwamba wake wengi ni vibaya lakini nyinyi mna vimada pembeni kwa wewe unayeoa na vidumu kwa wewe unayeolewa sasa maana yake nini kama si kuukubali uislamu kuwa na wake wa nne na vilevile mnampinga mungu na mtume wake kwamba nyie hamumtambui mtume muhammad(SAW) kumbuka huyo ndiye nabii wa umma huu na huyo nabii isa bin maryam(yesu) yeye aliletwa kwa watu wa israel siyo kwa watu wote wa duniani sasa mnapopinga mahakama ya kadhi na kujiunga oic mnakosea wakati nyie mmejiunga na jumuiya za kikristo duniani sasa huu ni upendeleo wa upande mmoja jaribu kuwa na upole siyo kashifa kwa waislamu vilevile wenye chama cha chadema ni chama cha wakristo na waislamu hatujawabagua wengi tupo kwenye chama hicho lakini hapohapo nyinyi mlikibagua chama cha cup kwa madai kwamba chama cha waislamu kitaleta udini nchini je na sisi tuwabague kuwa mtatuletea udini ? hatuendi hivyo walimwengu.
 
Mbona kuna mahakama ya biashara;kwani kila mtanzania ni mfanyabiashara?
 
Watu wachache ambao amzidi million 10 hamuwezi kuangaisha serikali kihasi hiki.

Mwisho mtataka hata mwezi wa ramadhani serikali iwagharamie.
Wasaidie waislam kuitaka serikali iingize kipengele cha dini kwenye sensa ili u prove idadi yako hiyo ya waislam.
 
sishangai saana kwa baadhi ya wakristo kuudhalilisha uislam, kumekuwa na madhehebu mengi sana ya dini ya kikristo ambayo mtu analala akiamka kaanzisha kanisa lake na hao ni wengi sana na kila siku unasikia wanaenda kutolewa mapepo sasa kama kila mkristo atakuwa na mapepo basi sioni ajabu wakikashifu uislam ni hayo MAPEPO YAO.
 
Wanao uhuru wa kutoa maoni, nashangaa wanao kereka...
Nao wakatoe tu, watasikilizwa.
Acheni matusi na kashfa kwenye imani za watu
 
tatizo la dini nyingine zinawasemaji wengi mno na vikundi ambavyo havina lazima kuwepo.Watu wanaona dini yao ni bora kuliko ya wengine huku ni hatari sana.waislam mjifunze nchi za kislam pure namna wanavyolipuana wao kwao wao.mara sun na washia hawapatani mara itikadi kali na za kati hawapatani.Njooni kwa Bwana wote mnaosumbuka na kulemewa na mawazo na taabu nawe utapata pumziko la milele na tena nira yake ni laini mno
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Anayekerwa na maoni ya mtu mwingine, si mtanganyika.
 

Propaganda za CDM hizo
 
your great thinker wa ukweli ukitaka kujua jambo ulisome kwa undani usikurupuke2 kwasababu umesikia swali ye ulikuwepo? numezisoma dini zote kwa ufasaha undani? hapo utatua ukweli upo wapi brothers and sisters 2cwe washabiki2 2livae jambo kwa undani wake jinsi lilivyo
 
Haya ni maoni , na maoni hujadiliwa, tofauti za maoni kuondolewa na kuishiya kwenye maelewano ambayo ndiyo katiba. Hakuna cha ajabu katika haya maoni. Kila mtanzania ana haki ya kushiriki katika kutunga katiba na wale wasioukuja na maoni hawana mchango.
 
Kuna watu mnatia huruma!. Mahakama mnayotafuta itahukumu kwa kutumia sharia ambazo ndizo mnazozikubali katika dini yenu. Ina maana sharia haina nguvu mpaka isaidiwe na sheria za kikafiri mnazozikataa na hampendi kuzitumia?
 
Kwa akili na mtazamo huu itafikia wakati kweli UAMSHO watadai Mwezi wa ramadhani serikali igharamie futari nchi nzima,
kama watu wanashindwa kujua mahitaji ya kidini yanawahusu wenye dini husika,hivi dini nyingine hazina taratibu na sheria za ndoa? mbona hao hawadai katiba ama sheria za nchi zi itambue? mbona mwapenda tumia majasho ya wasio wahusu?
ushauri : Anzisheni mahakama yenu kwa kanuni na gharama zenu achani majasho yetu (kodi za wote).
KUHUSU OIC-Taasisi/jumuiya yenu ya kiislam na iungane/ishirikiane na taasisi yeyote ya kiislam duniani dini nyingine haiwahusu wala serikali haiwahusu,
Mbona katoliki na dini/madhehebu mengine wana jumuiya zao wanashirikiana dunia nzima na serikali haihusiki?, Nyie kina nani mpaka mlete hayo myaletayo kamama ni urafiki na roma/vatcani mbona tuna urafiki na nchi za ki islam pia?
Kama hamuwezi ku organize waombeni WAROMA/rc wawasaidie kuweka msingi alafu mtaendelea kivyenu (maana mmeshindwa na mwataka bebesha zigo serikali ya wote).
USHAURI :jiungeni mpeane tende khalua nk(sisi kama nchi haituhusu)
VYAMA VYA SIASA VYA KIDINI: Maana yake nini? kwa mtu mwenye akili timamu anaejua kabisa kuwa msimamo wa serikali yetu ni kuwa kila mtu ana dini yake na ana uhuru nayo(KUABUDU ATAKAVYO) ila serikali kwa kuwa ni ya wote basi itabaki kuwa neutural ground
USHAURI: kama unataka nchi ya UDINI hameni Nendeni huko kwenye hizo nchi za udini mkajiunge na makundi mtakayo.(anaetaka ku ua kwa jina la mungu ili aende mbinguni haraka ruksa bt SIO HAPA TZ)
 
Wanataka kuzima nuruu ya uislam na alieitermsha ni aliyewumba basi stareheni kidogo kisha adhabu mtaiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…