Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Wana dharau sana hawa watu,wanapenda kujiona wao wako very superio,na tatizo ndo liko hapo.leo mhashamu kikoti amefariki huwezi ona uzi kumhusu na kama upo huwezi kuta muslim wanakejeri.subiri afariki shehe,uone lundo la thread zimejaa kejeri.
Bw elungata, dharau inatokana na namna ambavyo waislam wengi wanawakilisha ,mawazo yao dhidi ya wale wasio waislam,kama una kumbukumbu,kaburu wakati anaendesha ubaguzi wa rangi south,aliwaaminisha waafrika wa afrika ya kusini kuwa wao ndiyo waafrika bora na waliostaarabika kuliko waafrika wengine wowote duniani,hivyo namna ambavyo wanabaguliwa ilikuwa bado ni swala la kujivunia,kwani waliwadanganya kuwa waafrika wengine wanaishi kama masokwe. Kwa kipindi kirefu waliishi wakijiona wao ni bora kuliko waafrika wengine hadi pale walipofanikiwa kutoka kwenye box la south na kufika maeneo mengine ya afrika wakakuta wale waliokuwa wanaambiwa wapo wanaishi kama masokwe kumbe wanaishi sawa na wale wanaowabagua kwao,wanakula chakula hotel wanazokula wazungu,wanaingia popote bila bughuza,ndiyo ukawa mwanzo wa mapambano.
Ndivyo ilivyo kwa waislam wengi wanaamini kuwa wao ndiyo wenye hati miliki ya dunia hii,hati ambayo imetolewa na allah kwenye quran,hivyo wao wamedanganyika na kuona kila linatendwa pasipo kufuata matakwa yao ni swala la kulazimisha litendeke kwa kuwa dini yao ndiyo bora duniani na wao ndiyo wana hatimiliki ya huyo wanayemwamini kuwa ndiye muumba wa dunia hii. Lakini kama waislam wangejua kuwa wao wana haki sawa na wale wasio waislam katika kufaidi oksjeni ya dunia hii,na taratibu za allah wao ni kwa faida au hasara yao wazifuate pasipo kuingilia uhuru wa wengine na wala pasipo kuhusisha taasisi ambazo sio za kidini hakika dunia ingekuwa ni mahala pa kuisi kwa kuheshimiana,lakini wapi ? wao ndiyo maandiko yao ni sahihi, ukiwaambia Nabii isa wao sio Yesu hawataki kwan kuwa wanapumbazwa na imani kuwa kitabu chao ndicho sahihi kuitwa Yesu kwengine ni upotofu, wanatakiwa waamini mungu wao ni mungu wao tu,Wakristo wanaMungu wao,wanaoabudu ngo'mbe nao ni Mungu wao. Mungu yupi ni wa kweli ni swala la mtu binafsi kutafakali na kujitambua.
ni wakati kwa waislam kubinafsisha uislam wao.
Tuheshimiane...