Katiba mpya: Waislam watoa madai mazito Mwanza yawekwe kwenye katiba mpya


Umejitahidi sana kutoa maelezo yako,lakini nashindwa elewa tatizo lako liko wapi? Mahakama ya kadhi ni swala la ibada kwa waislam,kama imamu huchaguliwa na waislam kwanini kadhi asichaguliwe na waislam wenyewe na aendeshe hukumu ziwahusuzo waislam hadi serikali iwaanzishie hiyo mahakama,kuna nini hadi iwe lazima mahakama ya kadhi ianzishwe na serikali ?

OIC, Organization of Islamic ... kama sijakosea, kama ni organization ya Islamic ... TZ sio Isramic, kwa nini ijiunge kama nchi ? malengo na madhumuni ya OIC yanahusu uendelezaji wa UISLAM, serikali ya TZ isiyo na dini inahusikaje na uendelezaji wa UIslam ? hata kama kuna baadhi ya malengo yasiyohusu dini kama misaada au lah,hiyo haitoshi kuifanya nchi isiyo ya kiislam kujiunga na taasisi ambayo ni ya kidini per se.
Misaada ya serikali hailengi upande mmoja kama unavyojaribu kudanganya ndugu,serikali inatoa ruzuku kwenye mahospitali yanayoendeshwa na makanisa kwa makubaliano ya kutoa huduma kwa niaba ya serikali,na si kwa wakristo tu,imesemwa taasisi ya agha khan inanufaika nayo ni ya kikristo ?
Bado serikali haijawanyima ruzuku waislam kama wanaweza endesha taasisi kama hospital,unajua kuwa hilo si moja ya malengo ya Uislam,kama serikali ingekuwa inatoa fedha kuendeshea sunday school,naamini na waislam wangepata za kuendeshea madrasa. Lakini sivyo,serikali inafadhili miradi kusaidia jamii kiafya inayoendeshwa na taasisi za kidini sio kikristo tu
 

Nani kakataza waislam kuanzisha na kuhukum kwa kutumia sharia ? imesemwa mara nyingi kuwa mnao uhuru wa kuanzisha mahakama ya kadhi na kutoa hukumu zote za kidini isipokuwa zile zenye jinai,lakini hamtaki kuanzisha mnataka ianzihswe na serikali, UHURU WA KUABUDU SI NI PAMOJA NA UHURU WA KUENDESHA TAASISI ZA KIIBADA ?
 

Nguvu ya Allah,you must be joking,nchi za magharibi watu wanao uhuru wa kuamua na kufikiri hata kutokufikiri pia,ndiyo maana Uislam unaweza kuenezwa kwa uhuru kwenye nchi hizo ingawa wenyewe kama dini haina msamiati wa uhuru,na ndiyo maana unaita UZAYUNI wa kukandamiza kwa kuwa uhuru wa magharibi unasheria.
Huzungumzii nchi za kiislam ambako watu wake wamenyimwa uhuru wa kufikiri nje ya boksi walilowekwa la UISLAM kiasi cha kukataza hata vitabu vya kidini nje ya Uislam, sijui nini kimekupofusha unashindwa kuuelewa ukweli huo ulio wazi kabisa,uislam unalindwa kwa mabomu na majambia vinginevyo quran na Uislam wake ingekuwa kwenye hifadhi za makumbusho.
Ukristo ndiyo imani ambayo inalindwa na Mungu Muumba wa mbingu na Nchi, haulindwi kwa mabomu au majambia lakini bado unapeta duniani,unachafuliwa,unadhihakiwa na kutendwa mabaya mengi lakini bado unapeta na kuwaongoa wengi,wewe unakuja na dini inayolindwa kwa sheria kali za serikali kuwa ni allah anailinda,hakika hu mzima wewe...
 
Mbona kuna mahakama ya biashara;kwani kila mtanzania ni mfanyabiashara?

biashara nayo ni dini ? hata taasisi za kibiashara za watu wa dini hata za madhehebu ya dini zaweza kwenda kwenye mahakama ya biashara,waislam mnajidhalilisha sana kwa mfano kama huu.
 
Kila kukicha madai... Hiyo ni dini au ni kikundi cha madai?
 

Kwani Mbeya na Shinyanga wanaishi wakristu tu? Tunaona matunda yenu huko Nigeria na Kenya, bado kidogo tu kwa akili kama hizi zinazojitokeza JF, mabomu yataanza kulipuka Tz. The religion of tolerance!!!!
 
Je? ni wako sawa kipofu na anaeona,bubu na anaesema,kiziwi na anesikia, kiza na mwanga, asiekubali haya basi angojee kaburini
 
Hivi kwa mfano kuhusu kujiunga na OIC, kwa nini wasijiunge waisilamu peke yao? maana ukisema nchi ijiunge basi na asiye muislam atakuwa amejiunga pia.
 
Mkuu umeongea yote mimi nimeishiwa cha kuongezea
 
Kwani Mbeya na Shinyanga wanaishi wakristu tu? Tunaona matunda yenu huko Nigeria na Kenya, bado kidogo tu kwa akili kama hizi zinazojitokeza JF, mabomu yataanza kulipuka Tz. The religion of tolerance!!!!

kwani tunaandika katiba ya nigeria au kenya hapa?..stick to the point.
Ni ukweli kuwa maeneo ambayo yako na population kubwa ya christian ni HOHEHOHE..Songea,kyela,shinyanga,sumbawanga,mbeya,etc.
 
Kwani Mbeya na Shinyanga wanaishi wakristu tu? Tunaona matunda yenu huko Nigeria na Kenya, bado kidogo tu kwa akili kama hizi zinazojitokeza JF, mabomu yataanza kulipuka Tz. The religion of tolerance!!!!

kwani tunaandika katiba ya nigeria au kenya hapa?..stick to the point.
Ni ukweli kuwa maeneo ambayo yako na population kubwa ya christian ni HOHEHOHE..Songea,kyela,shinyanga,sumbawanga,mbeya,simiyu,mpanda,etc.
 
Sioni sababu ya muislam kubishana na mkristo bt naona sababu dhairi ya muislam kumpiga mkristo ili heshima iwepo. Allah ameshasema, hamtokua radhi nasi mpaka tufate mila zenu. Walahi nimeamini.
 
Wana dharau sana hawa watu,wanapenda kujiona wao wako very superio,na tatizo ndo liko hapo.leo mhashamu kikoti amefariki huwezi ona uzi kumhusu na kama upo huwezi kuta muslim wanakejeri.subiri afariki shehe,uone lundo la thread zimejaa kejeri.
 
Mimi nasikitishwa sana na wenzangu wanao kimbilia keyboard na kuanza kuandika kashafa dhidi ya upande mwengine iwe ni wasilamu au wakristo au wengineo. Likija suala la dini, naomba wale akina sisi ambao hatuna elimu sana, tusionyeshe ujinga wetu bali tusubiri wenye ujuzi wakiandika na sisi tunaelimika. Lengo ni kuelimishana. Mjadala wa katiba unaendelea na kila mmoja wetu ana haki (kikatiba) kutoa maoni na mawazo yake. Kuishi pamoja ni kuheshimiana. Bila kuheshimiana itakuwa taabu sana.
Sasa hivi tuta tatizo la Zanziabr na kubwa ni hilo hilo la kuheshimiana. Kukosa kuheshimia ndiko kuliko wafanya wazanzibari kudai UHURU wao.
 

Mungu gani aliyemtuma yesu ? yesu si ndio muungu wenu ? ama mtoto wamungu (astaghafirulah)
basi wewe akili yako ..mungu ana mtoto kazaa? khaa mbona unajinyea?
muungu aliuka ana kunya mavi na kutawaza? kha mbona akili mbovu..bora nisiwe muumini kama kuamini muungu kazaliwa...muungu alieuliwa na alie waumba....muungu aliekuwa akiomba msaada alipo kuwa anauliwa msalabani?
usisome quraan basi kasome historia ya ukristo ....usome ukristo ulianza lini ?
usome jee yesu alikua mkrsto ?
usome kwa nini ukristo ulianza baada ya 'kufa' mungu yesu


usitaje wayahudi ...soma utaona wayahudi hawana habari na yesu wenu
 
hakuwezi kuwa na mahakama ya sheria nje ya utaratibu wa katiba ...mahakama inahitaji kutambuliwa kisheria...na hii mahakama ya kadhi ni ya sheria inahitaji kuwekewa utaratibu wa kisheria...
unaposema waislam waiendeshe wenyewew ni sawa na kuwaambia mfano wafanya biashara waindeshe mahakama ya biashara wenyewe.
hili ni jambo muhimu kwa waislam , jamii ambayo ni kubwa katika watu wa Nchi hii
ni jambo la kustahamiliana kwani kwao ni jambo la lazima
waislam wanajua jumapili iliwekwa na watawala wa kikoloni kama siku ya mapumziko kwa sababu ya imani yao ya ukristo
kwani ndio siku ya ibada kwao
waislam wa nchi hii siku yao ya ibada ni ijumaa, na katika nchi za kiislam ijumaa ndio siku ya mapumziko, lakini waislam wa nchi hii hata baada ya uhuru waliliwachia hili ..kutokana na kuweka maslahi ya umoja na kustahamiliana katika dini, wao wanajua kuwa nchii hii ina dini mbili kubwa hivyo hatuwezi kuwa na mapumziko tofauti kwa wiki kukidhi matakwa ya dini hizi.
hivyo kama waislam wameweza kustahamili na kuridhia jumapili iwe siku ya mapumziko ili wakristo wende makanisani basi na wakristo nao wasiwe na uchoyo na roho mbaya kwa kila wana chotaka waislam wao wawe ndo wa mwanzo kukipinga..
ipo siku waislam watasema sasa basi ...tugawane mbao..na wao hawana cha kupoteza
lakini huko si kwa kufika ila kila ambaye ana ona mbali , anaetambua kuwa nchi hii ina dini mbili kubwa, dini ambazo zina waumini wengi zaidi na karibu sawa...inatakiwa kustahamiliana .....
kinyume chake nchi hii iko very vulnerable .....dini moja kuhodhi kila kitu...kuanzia nafasi za kazi serikalini , nafasi za masomo ndani na nje ya nchi, heshima kwa taasisi za dini na viongozi wao, kama haki na uadilifu itakuwa ni kitu adimu ndani ya viongozi wa kikristo basi nchii hii haiwezi kuwa kisiwa cha amani ..kwani huwezi kumnyima mtu haki yake milele..binaadamu anachoka ..
na wito kwa waislam wakati huu wa kuchakachua katiba ..kuna haja ya waislam kutoa msimamo wa wazi kuwa nchii hi si ya kidini haina dini hivyo katiba ibadilishwe na siku za mapumziko yasizingatie dini moja ..
bora siku ya mapumziko iwe jumatatu...na jumanne...bora tuaanzie hapo hima waislam tuichagize tume ya katiba tuweke mambo sawa tukatae siku za mapumziko kuwa jumapili
labda ndio sense itaingia kwa wakristo
 

afrika ukristo umeletwa na ukoloni..umeletwa kwa bikuti na pipi...na mitumba....umaskini na ufukara wa kiafrika ndio umewaingiza huko...na si kwa elimu ya dhati kuujuwa ukristo
ukweli utabaki hakuna muislam wa kweli anae ingia ukristo..
Lakini wazungu kwa mamia wanaingia uislam,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…