Hao Akina mkandala na viongozi mamluki wa vyama vidogovidogo ambavyo havina hata mbunge mmoja Bungeni "Kama Akina HAMADI RASHIDI,Shibuda n.k.Ni kwa vipi Hawa jamaa ni wawakilishi wa wananchi ?SERIKALI YETU TAFADHALI,TUNAWAOMBA MUWE SERIOUS KWENYE MAMBO SERIOUS Na MAKINI YA WANANCHI.MSILETE UTANI KAZINI.Mkumbuke wananchi ndio waajiri wenu.Msijaribu kuwaamsha Hawa Watanzania ambao kwa Sasa wamelala,msije mkalala nyie.[/QUOTE]
Kutokua na wabunge wanakosa uwakilishi Bungeni, lakini haiwanyimi uhuru wao kama Wana Nchi, lakini pia kama niviongozi wapo wanao waongoza.
Hilo meno mamluki sio neno la kiungwana.
Tena Shibuda nikiongozi wahao wenye vyama hata vyemye wabunge.