Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ugonjwa ambao ni vigumu kutibika pole sanaTofauti zetu tumeisha zifukia chini, suala la katiba tulisahau kwanza.
Uh! Inakuja kujaje? Huyo muundaji ni nani?Katiba mpya itaundwa tu.
Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k.
Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini hawakuwa na namna ya kumdhibiti kwasabb Katiba hii mbovu inampa rais umungu Mtu. Ninaamini wasingependa kuona hali hii inajirudia tena. Hivyo hata wao wanataka Katiba mpya.
Katiba mpya yaja bandugu, maana hakuna kundi ambalo halikuonja machungu ya mwendazake.
Hata U-turn ya maamuzi, maoni na mitazamo ya viongozi waandamizi katika Serikali ni ushahidi tosha kuwa kila Mtu alikuwa anaburuzwa na mwendazake.
Nawahakikishia katiba mpya yaja.
Kuna watu wanadhani kayiba ni ya chadema. hahaha alovyowanyosha Jiwe bado hawajakomaCHADEMA mnamsogeza mama kwenye 18 mnafiri atademuka?
Mtasubiri sana.
Hivi ndugu yangu inashangaa watu wanavyopinga katiba mpya. Mimi sishangai. Hebu pitisha vipeperushi vya kuuliza katiba ni nini nchi nzima kila mtanzania ajibu kisha majibu yake nakushauri ukayasubirie pembeni ya hospitali kwa sababu usipopata mshtuko unaweza kupata kichaa kabisaKatiba ni muhimu kuliko ata suala la tofauti zetu ni muhimu kuliko ccm na chadema.
Kwakweli napata mashaka sana kwa mwanachama wa ccm anae pinga/kataaa kuundwa kwa katiba mpya
Watanzania wote..!!??Wewe huoni kwamba suala la katiba mpya ni hitaji la watanzania wote?! Ujinga ni hatari sana.
KATIBA IHESHIMIWAYO Q41:41:Watanzania wote..!!??
Wee jamaa unajitambua kweli!??
Hata huyo unayemjibu anaonyesha wazi haihitaji, Sasa wewe Utaanzaje kusema ni wote.
Uhitaji unazingatia ufaidikaji. Kuna watu wanafaidika na Katiba iliyopo vip wewe useme wote wanahitaji Katiba mpya!?
Kama wote wahitaji Kuna haja gani ya kuipigania
Kila mtu anahitaji sheria mpya zilizo bora zaidi na utawala bora kuliko huu, hata wale wasio na fahamu nzuri wanahitaji katiba mpya!Watanzania wote..!!??
Wee jamaa unajitambua kweli!??
Hata huyo unayemjibu anaonyesha wazi haihitaji, Sasa wewe Utaanzaje kusema ni wote.
Uhitaji unazingatia ufaidikaji. Kuna watu wanafaidika na Katiba iliyopo vip wewe useme wote wanahitaji Katiba mpya!?
Kama wote wahitaji Kuna haja gani ya kuipigania